Mshangazi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,143
- 4,462
LEO natimiza post ya 1000 ndani ya jf kwa siku 58 tangu nimejiunga.
Najua ambavyo post zangu zo ni kichefuchefu kwa members wengi humu. Lakini mie ni kilaza najijua. So huwa naandika kwanza halafu nafikiria baadae.
Nilipigwa ban siku 7 nikakonda nikawa miss jf. Nimekuja ondolewa ban nkajikuta tena nimelowa na jf.
Post yangu namba 1000 hii. Ibaki hapa kumbukumbu nije nimuonyeshe mwanangu Vivian atapokuwa 18+ tayari kujiunga jf kama mie.
Na nikifa nitamrithisha ID yangu ili aendelee kuandika kama mie mama ake mumponde na mumsumbue PM hadi akili imkae vyema.
Siku 58, post 1000 reaction 3700.
Putting a mark for further revisitation.
LONG LIFE JF!!