Hii ni Siri ya mafanikio ya ndoa au uhusiano,Wakaka mkifanya haya mtauona ufalme wa mbinguni

Siku zote huwa nasema kumnunulia mke wangu Dhahabu, Gari au Vifaa vya Gharama ili apendeze na aonekane ni UA kweli kwangu haitakuwa ishu.

Ishu ni je, hivyo vitu VINAMSTAHILI!!!!!?, sio kumnunulia halafu unageuka ubao wa Matusi, Kejeli na Dharau kutoka kwake, Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…