Madam bana!Yuko bwawani huko
Aisee nmecheka sana hahaaaaaaHahaha si inaongozwa kichawi
AbeeMadam bana!
yes nimekubali B.
Ahahahahaa! Sijakucriticize bali wewe mwenyewe ndiye uliye onyesha udhaifu wako kwa kuomba po kisa eti mdada atachoka! Really? Tushindane kwa sera mkuu na sio kupumzishana! Teh! Teh!duuh wanaume tukitongoza tunauza sera zetu kiongozi sasa unaona unanifanyia mazuri kweli kucriticize tongozo langu?
[emoji4] tack sa mycket.Tack hun.
haha... sawa mzee wa kuvunja barafu.Ahahahahaa! Sijakucriticize bali wewe mwenyewe ndiye uliye onyesha udhaifu wako kwa kuomba po kisa eti mdada atachoka! Really? Tushindane kwa sera mkuu na sio kupumzishana! Teh! Teh!
Anytime....[emoji4] tack sa mycket.
kwa shunie jaza le empireZipo nyingi sana
Mshana jr vs demiss
Mahandow vs smart
Yna4 vs vlad
Shunie vs asiejulikana
Sakayo vs asprin[emoji23]
Ungekuwa siyo mkubwa ningekuoa ila kwetu nimefundishwa kuheshimu wakubwa![emoji53][emoji53][emoji53]Abee
Hahahhahahahaa yani wewe umenishinda kabisa, umetumia kigezo gani kujua me mkubwa kuliko wewe??? Mana usikute nachekeshwa na baba yangu kabisa hapaUngekuwa siyo mkubwa ningekuoa ila kwetu nimefundishwa kuheshimu wakubwa![emoji53][emoji53][emoji53]
Madam mimi nakujua physicali!Hahahhahahahaa yani wewe umenishinda kabisa, umetumia kigezo gani kujua me mkubwa kuliko wewe??? Mana usikute nachekeshwa na baba yangu kabisa hapa
Apia???? Uliniona wapi na lini???? Unanifaham bana hunijui na pia sidhan kama unanifaham physicalMadam mimi nakujua physicali!
Madam nakujua nje ndani,wewe umezaliwa tarehe 24 october,uwongo?nitaje na mwaka??.....umenibeba sana mgongoni,ulikuwa unakuja nyumbani pale kunichukua naenda kukaa na wewe!Apia???? Uliniona wapi na lini???? Unanifaham bana hunijui na pia sidhan kama unanifaham physical
Mh mh mh nyumbani wapi?? Ndio nimezaliwa huo mwezi na hiyo tarehe taja tu na mwaka haina mbaya, nimekubeba wallah usintanie hahahhahahaMadam nakujua nje ndani,wewe umezaliwa tarehe 24 october,uwongo?nitaje na mwaka??.....umenibeba sana mgongoni,ulikuwa unakuja nyumbani pale kunichukua naenda kukaa na wewe!
Kutaja mwaka hapa haikubaliki hata mods watanishangaa!![emoji28][emoji28][emoji28]Mh mh mh nyumbani wapi?? Ndio nimezaliwa huo mwezi na hiyo tarehe taja tu na mwaka haina mbaya, nimekubeba wallah usintanie hahahhahaha
Ahahahahhaa haya nambie sasa wapi kwenu nilikokuja mieKutaja mwaka hapa haikubaliki hata mods watanishangaa!![emoji28][emoji28][emoji28]
Umeingia chimbo sio brohmatatizo gani tena braza!![emoji15][emoji15]