Hii ni special kwa zile couple za JF

Hii ni special kwa zile couple za JF

duuh wanaume tukitongoza tunauza sera zetu kiongozi sasa unaona unanifanyia mazuri kweli kucriticize tongozo langu?
Ahahahahaa! Sijakucriticize bali wewe mwenyewe ndiye uliye onyesha udhaifu wako kwa kuomba po kisa eti mdada atachoka! Really? Tushindane kwa sera mkuu na sio kupumzishana! Teh! Teh!
 
Ahahahahaa! Sijakucriticize bali wewe mwenyewe ndiye uliye onyesha udhaifu wako kwa kuomba po kisa eti mdada atachoka! Really? Tushindane kwa sera mkuu na sio kupumzishana! Teh! Teh!
haha... sawa mzee wa kuvunja barafu.

huyu kabila langu kiswahili kikinishinda tunaongea kilugha.
 
Ungekuwa siyo mkubwa ningekuoa ila kwetu nimefundishwa kuheshimu wakubwa![emoji53][emoji53][emoji53]
Hahahhahahahaa yani wewe umenishinda kabisa, umetumia kigezo gani kujua me mkubwa kuliko wewe??? Mana usikute nachekeshwa na baba yangu kabisa hapa
 
Apia???? Uliniona wapi na lini???? Unanifaham bana hunijui na pia sidhan kama unanifaham physical
Madam nakujua nje ndani,wewe umezaliwa tarehe 24 october,uwongo?nitaje na mwaka??.....umenibeba sana mgongoni,ulikuwa unakuja nyumbani pale kunichukua naenda kukaa na wewe!
 
Madam nakujua nje ndani,wewe umezaliwa tarehe 24 october,uwongo?nitaje na mwaka??.....umenibeba sana mgongoni,ulikuwa unakuja nyumbani pale kunichukua naenda kukaa na wewe!
Mh mh mh nyumbani wapi?? Ndio nimezaliwa huo mwezi na hiyo tarehe taja tu na mwaka haina mbaya, nimekubeba wallah usintanie hahahhahaha
 
Back
Top Bottom