Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
hahahaYani hata sijui ila wewe, evelyn salt na miss chagga mlikua mnakimbizo moyo kwa kasi ya H+ kipindi hicho
Sasa ningefunguka vip wakati uchumi ulikua chini?[emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaYani hata sijui ila wewe, evelyn salt na miss chagga mlikua mnakimbizo moyo kwa kasi ya H+ kipindi hicho
Sasa ningefunguka vip wakati uchumi ulikua chini?[emoji23] [emoji23]
Jamani uchumi haupo fixed eti, afu no situation is permanent. Ungekomaa tu, sasa ukishakuwa inferior doohYani hata sijui ila wewe, evelyn salt na miss chagga mlikua mnakimbizo moyo kwa kasi ya H+ kipindi hicho
Sasa ningefunguka vip wakati uchumi ulikua chini?[emoji23] [emoji23]
Kumbe ni mkurya ??[emoji12] [emoji12] [emoji12]Mswati wa kiKurya eeh [emoji3][emoji3]
Sawa Miss Heaven Sent [emoji4][emoji4]
mnyachusa mm [emoji2][emoji2][emoji125][emoji125]Kumbe ni mkurya ??[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Inamaana kaolewa kimya kimya jamani? Mhhhh espy kwa kupenda ndoa kanishinda.Haha wanyaki huwa tunaringa siku mojamoja
Mweeh mbona simjui baba mpya jamani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisa...na hakuna wa kumshika humu [emoji2][emoji2][emoji2]
Ujikute tumnyachusa mm [emoji2][emoji2][emoji125][emoji125]
aaah kwako ww yule hashikiki....vurugu zake sio mchezo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata wewe ndugu yake huwezi kumshika kabisa?
sure nakwambia,Ujikute tu
Usimwambie; ila yule anaolewa kila siku mwenzioInamaana kaolewa kimya kimya jamani? Mhhhh espy kwa kupenda ndoa kanishinda.
Tuachane na ndoa yake, Vipi unaendeleaje lakini?
Nimeamua kutokuamini[emoji12] [emoji12]sure nakwambia,
AhahahaaaaaUsimwambie; ila yule an asleep kila siku mwenzio
Namshukuru Mungu naendelea vyema kabisa, sijui wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aaah kwako ww yule hashikiki....vurugu zake sio mchezo
kwann umeamua kufanya maamuzi ya kibinafsi hivyo lkn?Nimeamua kutokuamini[emoji12] [emoji12]
wakumshika ni ww pekee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mefurahi pia nataka shariAhahahaaaaa
Nipo poa kipenzi, mefurahi kukuona
Hahaha muonekwann umeamua kufanya maamuzi ya kibinafsi hivyo lkn?
ukutupilika...[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
uanzishe nyakyusa coarse nije nijifunze kidogo....maana ss hiv najua cha kuombea maji tuHahaha muone
Ndo namalizia course kwanza, vumilia kidogoooouanzishe nyakyusa coarse nije nijifunze kidogo....maana ss hiv najua cha kuombea maji tu