third eye chakra
JF-Expert Member
- Dec 27, 2023
- 918
- 2,160
Mimi ni chizi hivyo huwezi kunielewa japo kidogo kwakua bongo Yako imetazama nakuishia hapo hapo ulipo. YakoInasikitisha sana
Inasikitisha sana mkuu πMimi ni chizi hivyo huwezi kunielewa japo kidogo kwakua bongo Yako imetazama nakuishia hapo hapo ulipo. Yako
Sana mkuu inaskitisha sanaInasikitisha sana mkuu π
Vipi lakini Leo Uliwahi kazini kweli! Aisee kuna balidi Kali la kipupwe.Inasikitisha sana mkuu π
Mbona mm n jobless, au n kazi gn hy unaisemea mm mhusika siifahamu.Vipi lakini Leo Uliwahi kazini kweli! Aisee kuna balidi Kali la kipupwe.
Nakusihi sana hizi ndio nyakati watu kadhaa husimamishwa kazi kwa uzembe wakuchewa kazini.
KUAMAKINI SANA.
Pole sana tafuta mtaji wa 25elfu.Mbona mm n jobless, au n kazi gn hy unaisemea mm mhusika siifahamu.
Nikopeshe hy 25elfuPole sana tafuta mtaji wa 25elfu.
Nintakusaidia kukupa odds3 kila siku kasoro siku ya ijumaa.
Nintafanya kwa wewe ufungue account pesa itakua inawekwa humo kwamuda wa miezi3
Hapo piga hesabu ya jumla kwamuda huo nabaada yahapo utaanza biashara Yako nasafari ya mabadiliko ya fikra itakua ndio vazi lako.
Hizo mushrooms π ni madawa ya kulevya kama heroin, cocaine,nk. Be carefulNadhani watu wanao utafuta ukweli ndani mioyo yao,nafsi.
Wewe ulifanya meditation kwamda mrefu bila kuona maana ya meditation.
Nimekuletea zawadi ya MAGIC mushrooms.
Mkoani utatumiwa na ikiwa upo dar es salaam UTAKUJAMOJA KWA MOJA OFSINI.
Dogo nikupe nyavu na boti yakuvulia Kisha niwe nakukumbusha namuda wakwenda kuvua??Nikopeshe hy 25elfu
Umenipa nyavu tuu ambayo ni wazo ila boti hujanipa ambayo ni mtajiDogo nikupe nyavu na boti yakuvulia Kisha niwe nakukumbusha namuda wakwenda kuvua??
π€π€π€π€π€