PostGE2025 Hii ni stage ya ngapi ya kuwaangushia CHADEMA lawama za Oktoba 29? Mmesahau kama mliwapiga ban? Safari hii hamchomoki!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Haki nacheka kama mazuri:BearLaugh::BearLaugh::KEKWlaugh:, mara hii mmeshasahau yote yaliyotokea? Aaah bana mbona mnataka kutupa mpira mapema hivi?

Sasa hivi mtakuwa mnalia na kusaga meno huko mliko, yaani wote ambao mngewaangushia lawama mliwapiga ban, sasa hakuna mtu wa kumtupia mzigo! Mnaogopa kuwaangushia lawama polisi maana nao watamwaga mboga. Aaaah tumefikia kutamu sana.

Aliyetoa mchongo wa kufungia CHADEMA kufanya siasa atakuwa anasaga meno huko aliko. Watu wana Mungu bwana.... kama alivyosema Ruge ogopa Mungu na Teknolojia, sisi wala hatuna haraka, tunaendelea kufuatilia episodes tukiwa tunatafuna karanga na bisi.... ni humu tuuu!😎

CCM mko na vyote isipokuwa akili tu🤣🤣, msuka mipango, anayewafuata, anayetekeleza, anayekuja kutupigia kelele wote mmejaa funza vichwani! Hakuna kitu mmewahi fanya kikaenda vizuiri, ni failure after failure, poor poor kwa sauti ya Steve Nyerere, au nakosea guys? Dr. Mwigulu Nchemba
:BearLaugh::BearLaugh::KEKLaugh:
====

"Watanzania, leo tumekuja na jambo moja tunaomba sana mtusikilize.

Siku ya tarehe 29 tulikubaliana na Chadema kwamba twende tukafanye vurugu tutalipwa. Lakini pia Chadema ilituambia kwamba tutaungana na Jeshi la Tanzania.

Sasa kitendo kilichotuuma ni kwamba tulitoka tarehe 29 kufanya vurugu, lakini hakuna jeshi lililotuunga mkono. Wengine tukaambulia kuumia tu, lakini hicho kitendo hakijatuuma sana.

Kilichotuuma ni serikali ya Chadema kututelekeza, kutuacha tunahangaika. Tulikubaliana twende tukapindue serikali ya Samia kwamba tutapata haki zetu, tutalipwa zote kwa pamoja.

Lakini cha ajabu, tumepata wageni wengine kutoka Kenya wamekuja, wamelipwa hela zao wao. Lakini sisi vijana wa Tanzania tumebaki tunahangaika hatujui tukae wapi, hatujui tujifiche wapi.

Kwahiyo tulikuwa tunaiomba serikali kwanza ya Tanzania itusamehe makosa yetu kwa sababu tulikuwa..."
 
Tatizo ni kwamba taarifa zote na mipango yote miovu wanayopanga inatoka huko huko ndani yaani mnakaa watu wawili au watatu mnapanga sinema yenu vizuri ila kabla hamjaipanga taarifa zipo nje ccm tubuni tuanze upyaaa
 
Ndo kukinukisha kwenyewe huko? tulieni maji mtaita mma
Pshhhhhhh🤣🤣🤣 hata mbwa tu akiwaangalia anakufa kwa kicheko sembuse sisi! Ya'll not worth our efforts kabisa! Hatuwezi shindana na takataka, tutachafuka na kunuka😎😎
 
Tatizo ni kwamba taarifa zote na mipango yote miovu wanayopanga inatoka huko huko ndani yaani mnakaa watu wawili au watatu mnapanga sinema yenu vizuri ila kabla hamjaipanga taarifa zipo nje ccm tubuni tuanze upyaaa
Ni mwendo wa kumulikwa tu saivi, mmoja baada ya mwingine!
 
Naona aliyemwandikia "script" kamwingiza chaka, sasa ni lini CHADEMA ikawa na Serikali.? Eti Serikali ya Chadema.!

Pia nani alimwambia ukiigiza sauti ya "kikurya" itajulikana zaidi kuwa wao ni vijana wa Chadema.?
 
Wakuu,

Haki nacheka kama mazuri:BearLaugh::BearLaugh::KEKWlaugh:, mara hii mmeshasahau yote yaliyotokea? Aaah bana mbona mnataka kutupa mpira mapema hivi?

Sasa hivi mtakuwa mnalia na kusaga meno huko mliko, yaani wote ambao mngewaangushia lawama mliwapiga ban, sasa hakuna mtu wa kumtupia mzigo! Mnaogopa kuwaangushia lawama polisi maana nao watamwaga mboga. Aaaah tumefikia kutamu sana.

Aliyetoa mchongo wa kufungia CHADEMA kufanya siasa atakuwa anasaga meno huko aliko. Watu wana Mungu bwana.... kama alivyosema Ruge ogopa Mungu na Teknolojia, sisi wala hatuna haraka, tunaendelea kufuatilia episodes tukiwa tunatafuna karanga na bisi.... ni humu tuuu!😎

CCM mko na vyote isipokuwa akili tu🤣🤣, msuka mipango, anayewafuata, anayetekeleza, anayekuja kutupigia kelele wote mmejaa funza vichwani! Hakuna kitu mmewahi fanya kikaenda vizuiri, ni failure after failure, poor poor kwa sauti ya Steve Nyerere, au nakosea guys? Dr. Mwigulu Nchemba
:BearLaugh::BearLaugh::KEKLaugh:
====

View attachment 3576373

"Watanzania, leo tumekuja na jambo moja tunaomba sana mtusikilize.

Siku ya tarehe 29 tulikubaliana na Chadema kwamba twende tukafanye vurugu tutalipwa. Lakini pia Chadema ilituambia kwamba tutaungana na Jeshi la Tanzania.

Sasa kitendo kilichotuuma ni kwamba tulitoka tarehe 29 kufanya vurugu, lakini hakuna jeshi lililotuunga mkono. Wengine tukaambulia kuumia tu, lakini hicho kitendo hakijatuuma sana.

Kilichotuuma ni serikali ya Chadema kututelekeza, kutuacha tunahangaika. Tulikubaliana twende tukapindue serikali ya Samia kwamba tutapata haki zetu, tutalipwa zote kwa pamoja.

Lakini cha ajabu, tumepata wageni wengine kutoka Kenya wamekuja, wamelipwa hela zao wao. Lakini sisi vijana wa Tanzania tumebaki tunahangaika hatujui tukae wapi, hatujui tujifiche wapi.

Kwahiyo tulikuwa tunaiomba serikali kwanza ya Tanzania itusamehe makosa yetu kwa sababu tulikuwa..."
Hivi akili za wabunifu propaganda ndipo zilipofikia hivi? Ufalme ukifitinika hata kuwe na propaganda za namna gani wananchi hawawezi kuamini . Mamlaka zinazohusika tafuteni chanzo cha tatizo mshughulike nalo si kufanya vioja na kucheza na akili za watu,haisaidii
 
Back
Top Bottom