Hii ni tabia mbaya sana katika mahusiano.

Tall

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2010
Posts
1,425
Reaction score
168
Hakuna binadamu aliekamilika, kila mtu ana mapungufu na maumbile tofauti,kuna baadhi ya
wanaume wenzangu,bila aibu wala haya kila baada ya mechi na wapenzi wao, huanza mambo ya kashfa yanayomhusu mpenzi wake, tena cha ajabu, mnamjua huyo mhusika/mpenzi wake.Kwa mawazo yangu hii ni tabia mbaya sana.Hapa ninapopatia riziki yupo jamaa mmoja yaani hata simmalizi. KASHFA aliyoieleza kuhusiana na dada alietembea nae ni aibu tupu
Lakini pia wapo baadhi ya kina dada ambao nao hawajatulia kabisa, baada ya mechi na wapenzi wao, mashoga zake wote wanajua kila details ya mechi na hata bwana wake yukoje kimaumbile, halafu wakati mwingine hasemi ukweli ila ni KASHFA TU,tena hao mashoga zake wanamjua fika huyo jamaa.LABDA TUULIZANE WANA JF:
1. Nini chanzo cha kashfa?
2. Je ukimzushia kashfa mpenzi wako iwe ya kweli au uongo inasaidia/unapata faida?
3. Tuwafanyaje watu kama hao(pamoja na huyu jamaa) kwenye dunia hii ya mapenzi?
Binafsi sijawahi kukashifiwa kwa lolote....lakini huyu jamaa kashfa aliyomzushia msichana wa watu inanisikitisha sana.Wanaume wote kila wakimuona huyu dada na wakikumbuka maneno walioambiwa na jamaa wanaanza kucheka.....NI USHAURI WANGU KWA WOTE WANAUME NA WANAWAKE....''KASHFA HAZIFAI''......huo ni mtazamo wangu.
 
.......Binafsi sijawahi kukashifiwa kwa lolote....lakini huyu jamaa kashfa aliyomzushia msichana wa watu inanisikitisha sana.Wanaume wote kila wakimuona huyu dada na wakikumbuka maneno walioambiwa na jamaa wanaanza kucheka.....NI USHAURI WANGU KWA WOTE WANAUME NA WANAWAKE....''KASHFA HAZIFAI''......huo ni mtazamo wangu.
Hapo kwa RED hujawai kusikia kama umekashfiwa au? maana Kashfa wanaoelezwa ni wengine na sometimes wewe huwezi jua!!
 
Hakuna binadamu aliekamilika, kila mtu ana mapungufu na maumbile tofauti,kuna baadhi ya
wanaume wenzangu,bila aibu wala haya kila baada ya mechi na wapenzi wao, huanza mambo ya kashfa yanayomhusu mpenzi wake, tena cha ajabu, mnamjua huyo mhusika/mpenzi wake.Kwa mawazo yangu hii ni tabia mbaya sana.Hapa ninapopatia riziki yupo jamaa mmoja yaani hata simmalizi. KASHFA aliyoieleza kuhusiana na dada alietembea nae ni aibu tupu
Lakini pia wapo baadhi ya kina dada ambao nao hawajatulia kabisa, baada ya mechi na wapenzi wao, mashoga zake wote wanajua kila details ya mechi na hata bwana wake yukoje kimaumbile, halafu wakati mwingine hasemi ukweli ila ni KASHFA TU,tena hao mashoga zake wanamjua fika huyo jamaa.LABDA TUULIZANE WANA JF:
1. Nini chanzo cha kashfa?
2. Je ukimzushia kashfa mpenzi wako iwe ya kweli au uongo inasaidia/unapata faida?
3. Tuwafanyaje watu kama hao(pamoja na huyu jamaa) kwenye dunia hii ya mapenzi?
Binafsi sijawahi kukashifiwa kwa lolote....lakini huyu jamaa kashfa aliyomzushia msichana wa watu inanisikitisha sana.Wanaume wote kila wakimuona huyu dada na wakikumbuka maneno walioambiwa na jamaa wanaanza kucheka.....NI USHAURI WANGU KWA WOTE WANAUME NA WANAWAKE....''KASHFA HAZIFAI''......huo ni mtazamo wangu.
apo nlipoweka rangi unauhakika napo kweli??????
yap i tabia ni ya uwongo n for loosers
i ni dalili kwamba akuna mapenzi baina yao wangependana kiukweli wala wasingekashfiana nje
+u ni utoto ndani ya utoto
wengine wanatoa kashfa as defensive mechanism uone paleeee ahhhh paovyo kumbe bwana anajaribu kuwafukuza kwa bibi ake ale peke ake
weng
afu mijitu mingine naturally ni mijitu ya nyodo/dharau km ambavyo baadhi ya makabila yetu tz ni wataalamu kwa majigambo ata ukikutana na mtoto mchanga wa kabila ilo analia n'gaaaaaaaaaaaaa n'gaaaaaaaaaaaa kwa kingereza akimalizia na ..infakt mami yangu ana maziwa mazuri na matamu kushinda yawamama wote apa clinic......sasa ukikutana na wakubwa zao ndo utakoma sasa ............dah i hatari :scared:

ndo ivyo babu uo ni ujinga tu ahaina haja ya kumkashfu mwenzio in whatever reasons/conditions might b,km unaona hakufitiu we sepa kimya kimya haina haja ya kujifanya hadija kopa taarabu nyiiiiiiiiiing sanasana waungwana watasema ni maneno ya mkosaji /looser
nawasilisha
 
Lakini Tall wanaume ndivyo walivyo hata umfanyie vipi , mkikorofishana kidogo tu basi anaanza kashfa sasa sielewi zinawasaidia nini, maana utakumta mtu anamkashifu mkewe kwa sababu tu wamegombana halafu baada ya muda wanarudiana sasa sielewi huwa hawaoni aibu? maana anakuwa tayari ameshatangaza jinsi mkewe alivyo.

WANAUME KUWENI NA TABIA NZURI KAMA MMEACHANA NA MWANAMKE /MKEO USITANGAZE MABAYA YAKE, MAANA "MWISHO WA UBAYA AIBU".
 
jamani akka na mtu anaje na sifa zinazopendezewa kwenye mahusiano .............tumechoka kusikia ILA tu!

hebu nifunzeni mambo mazuri kwenye uhusiano na mabaya nitaacha taratibu!
 
Nadhani utakuwa unazungumzia wanaume wako na si wote...
 
jamani akka na mtu anaje na sifa zinazopendezewa kwenye mahusiano .............tumechoka kusikia ILA tu!

hebu nifunzeni mambo mazuri kwenye uhusiano na mabaya nitaacha taratibu!
Mwalimu, kwenye hizo bold niipekue TUKI yangu au ni spelingi misteki?
 
ni pamoja na maumbile au tabia/isio ya kawaida/mbaya/maalum ya mpenzi wako

Hapo kwenye red, hiyo ni silaha kali wanayotumia wanawake kuwakashifu wnaume mambo yanapokwenda harijojo.

Nlishawahi kumsikia mshori akimwambia jamaa yake "Tena bora tuachane manake nimekuvumilia vya kutosha. Kakitu kenyewe kadogo kama bamia, nikikohoa kanatoka! Halafu bao lenyewe moja, ukimaliza unapumua kama kitimoto unanipa kazi nyingine ya kukupepea" Mwisho wa kunukuu!
 
Hapo kwa RED hujawai kusikia kama umekashfiwa au? maana Kashfa wanaoelezwa ni wengine na sometimes wewe huwezi jua!!
hiyo ni pooooint isio na ubishi....lakini unajua,maneno huwa yanazunguuuuka mwisho anajitokeza mmoja anasema ukweli anamwambia mhusika KAMA NOMA NA IWE NOMA.
 
apo nlipoweka rangi unauhakika napo kweli??????
Yap i tabia ni ya uwongo n for loosers
i ni dalili kwamba akuna mapenzi baina yao wangependana kiukweli wala wasingekashfiana nje
+u ni utoto ndani ya utoto
wengine wanatoa kashfa as defensive mechanism uone paleeee ahhhh paovyo kumbe bwana anajaribu kuwafukuza kwa bibi ake ale peke ake
weng
afu mijitu mingine naturally ni mijitu ya nyodo/dharau km ambavyo baadhi ya makabila yetu tz ni wataalamu kwa majigambo ata ukikutana na mtoto mchanga wa kabila ilo analia n'gaaaaaaaaaaaaa n'gaaaaaaaaaaaa kwa kingereza akimalizia na ..infakt mami yangu ana maziwa mazuri na matamu kushinda yawamama wote apa clinic......sasa ukikutana na wakubwa zao ndo utakoma sasa ............dah i hatari :scared:

Ndo ivyo babu uo ni ujinga tu ahaina haja ya kumkashfu mwenzio in whatever reasons/conditions might b,km unaona hakufitiu we sepa kimya kimya haina haja ya kujifanya hadija kopa taarabu nyiiiiiiiiiing sanasana waungwana watasema ni maneno ya mkosaji /looser
nawasilisha
....wenye makabila yao wanakusikia mkuu,...... mi simo.
 
ata ukikutana na mtoto mchanga wa kabila ilo analia n'gaaaaaaaaaaaaa n'gaaaaaaaaaaaa kwa kingereza akimalizia na ..infakt mami yangu ana maziwa mazuri na matamu kushinda yawamama wote apa clinic......sasa ukikutana na wakubwa zao ndo utakoma sasa ............dah i hatari :scared:

hehehehe ngoja kwanza nitoke nje nikacheke kidogo.......yaani hata watoto wadogo wanalia kwa kingereza tena?
 
Hapo kwenye red, hiyo ni silaha kali wanayotumia wanawake kuwakashifu wnaume mambo yanapokwenda harijojo.

Nlishawahi kumsikia mshori akimwambia jamaa yake "Tena bora tuachane manake nimekuvumilia vya kutosha. Kakitu kenyewe kadogo kama bamia, nikikohoa kanatoka! Halafu bao lenyewe moja, ukimaliza unapumua kama kitimoto unanipa kazi nyingine ya kukupepea" Mwisho wa kunukuu!

nimecheka, kha! sasa ebu malizia story ikawaje? cajabu wameoana hao!
 
Asprin ..............hapo tuki usiitafute .....japokuwa AKKA kwa kiswahili sanifu means mshangao! (samahani kwa alama hiyo kukosekana) hehehe

hapo kwengine ni spelling mistake ..............mimi nimechoka kusikia tabia mbaya, nataka niambiwe tabia njema zinazojenga mahusiano plz

btw kimey suala la asprin kwa mtoa mada limekaa kitashtiti zaidi:lol:
 
Hapo kwenye red, hiyo ni silaha kali wanayotumia wanawake kuwakashifu wnaume mambo yanapokwenda harijojo.

Nlishawahi kumsikia mshori akimwambia jamaa yake "Tena bora tuachane manake nimekuvumilia vya kutosha. Kakitu kenyewe kadogo kama bamia, nikikohoa kanatoka! Halafu bao lenyewe moja, ukimaliza unapumua kama kitimoto unanipa kazi nyingine ya kukupepea" Mwisho wa kunukuu!
wanawake kama hawa ndio huwafanya baadhi ya wanaume kutwa nzima wanashinda kwa waganga kuongeza SIZE na.....y NANINO.
 
Back
Top Bottom