Hakuna binadamu aliekamilika, kila mtu ana mapungufu na maumbile tofauti,kuna baadhi ya
wanaume wenzangu,bila aibu wala haya kila baada ya mechi na wapenzi wao, huanza mambo ya kashfa yanayomhusu mpenzi wake, tena cha ajabu, mnamjua huyo mhusika/mpenzi wake.Kwa mawazo yangu hii ni tabia mbaya sana.Hapa ninapopatia riziki yupo jamaa mmoja yaani hata simmalizi. KASHFA aliyoieleza kuhusiana na dada alietembea nae ni aibu tupu
Lakini pia wapo baadhi ya kina dada ambao nao hawajatulia kabisa, baada ya mechi na wapenzi wao, mashoga zake wote wanajua kila details ya mechi na hata bwana wake yukoje kimaumbile, halafu wakati mwingine hasemi ukweli ila ni KASHFA TU,tena hao mashoga zake wanamjua fika huyo jamaa.LABDA TUULIZANE WANA JF:
1. Nini chanzo cha kashfa?
2. Je ukimzushia kashfa mpenzi wako iwe ya kweli au uongo inasaidia/unapata faida?
3. Tuwafanyaje watu kama hao(pamoja na huyu jamaa) kwenye dunia hii ya mapenzi?
Binafsi sijawahi kukashifiwa kwa lolote....lakini huyu jamaa kashfa aliyomzushia msichana wa watu inanisikitisha sana.Wanaume wote kila wakimuona huyu dada na wakikumbuka maneno walioambiwa na jamaa wanaanza kucheka.....NI USHAURI WANGU KWA WOTE WANAUME NA WANAWAKE....''KASHFA HAZIFAI''......huo ni mtazamo wangu.