tino na tenga ndio walialikwa!Idi Pazi alikuwa ni reserve golie, jana tu katoa tweet yake kwamba kilichofanyika siyo haki. TEna inaelekea wote walikuwepo kuwapa moyo hawa wachezaji lakini ameitwa Peter Tino peke yake.
ni kama CHALLENGE kuitwa GOSSAGE enzi hizo!Mashindano ni yaleyale kasoro jina Tunaposema tunaingia Afcon mara ya pili nisahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
. (Nukta)Asante kwa historia nzuri lakini naona umejikita kumu undergrade Peter Tino. Wachezaji wote walioshiriki kutuvusha mwaka 1979 wanastahili pongezi kubwa sana lakini kibinadamu yule aliyefunga goli lililotuvusha anakuwa na historia ya pekee bila kujali mengine yote uliyosema.
Nafikiri kwasasa hatupo kwenye mjadala wa mchezaji gani alikuwa mkali enzi hizo ila kupitia kufuzu Afcon safari hii imetufanya leo tuone thamani ya goli lile la Peter Tino.
Hii ni kawaida kibinadamu ndio maana hata Iniesta pamoja na kuwa fundi wa hatari lakini lile goli lake la world cup final itabakia kuwa alama yake kwa wahispania daima.
Nafikiri kwa namna ya kujenga tungeshauri wale wachezaji waliotuvusha mwaka 1979 au familia zao wafanyiwe kitu cha kumbukumbu. Yes, tunashukuru kwa zawadi ya Tino leo ikulu lakini hili litazamwe kwa mapana.
Peter Tino alikuwa mchezaji bora ndio maana akaitwa timu ya Taifa na kuwakilisha nchi, zuri zaidi ndiye aliyefunga lile goli la dhahabu na kutuvusha. Hilo linatosha wala hutufanyi zoezi la comparison la mkali nani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimegundua Huku ndan kuna Babu zetu
Uliwaona ?Dah hii stori imeniumbusha zamani sana...wale wachezaji walikuwa balaa
...
imenikumbusha hizo enzi Gidamis Shahanga akipewa zawadi ya national bendi 3 mono kaseti baada ya kuleta gold ya marathon jumuia ya madola.
...
Nimekubali masahishisho haya.
Nimekubali masahishisho haya.
Kwa kuwa Yanga ilikuwa na hali ngumu baada ya mastaa wake kuunda Pan, Simba na Pan ndiyo walikuwa mahasimu wapya, ingawa sikumbuki kama Pan iliwahi kuifunga Simba.
Ndiyo raha ya JF. Habari huzaa habari nyingine!Ulivyoandika inaonesha haupo neutral. Usisahau hiyo unayoiita Pan Africa ilikuwa ni Yanga tu. Kwa mheshimiwa (ingawa ni Simba) alichofanya ilikuwa ni sahihi kumtambua aliyefunga bao la kutuwezesha kwenda African Cup> Ushabiki mwingine ulipouonesha ni pale ulipozungumzia Golden Boy ila hukuzungumzia kiboko yake Chama alivyokuwa anamdhibiti mpaka Jongo akaanzisha msemo wa man to man.
Hebu msikilize Jongo alipokuwa anatangaza kuhusu hiyo mechi kuanzia 4:50: ..... tunakwenda lagos.....
Utakuta Jiwe, pamoja na kuwa alishakuwa mtu mzima mwaka huo, lakini hajui lolote kuhusu kilichotokea mwaka huo. Hata huyo Tino inawezekana anasimuliwa tu!Hata mimi sijafurahia zawadi kwa TINO peke yake... hii haileti muunganiko kwenye timu.
Kama hawa akina NYONI, MSUVA n.k wamepewa wote, kwa nini hao wa 1980 APEWE MMOJA TU?
Serikali itafakari tena huu ni UNYANYEMBE kabisa.
Utakuta Jiwe, pamoja na kuwa alishakuwa mtu mzima mwaka huo, lakini hajui lolote kuhusu kilichotokea mwaka huo. Hata huyo Tino inawezekana anasimuliwa tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sunday Juma wa SimbaHivi hizi stori za kuwa Kajole alikuwa anakimbia hadi anauacha mpira nyuma ni za kweli au kahawa tu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kulikuwa na battle ya kipekee kati ya Chama na Mogella. Hakuwa na umbo kubwa ila akilitazama goli basi ni balaa.Kabisa, kizazi cha sasa wanahitaji taarifa za Watu kama hawa.
Nakumbuka tukio moja aliumia akafungwa bandeji kichwani akarudi uwanjani akiwa na bandeji yake kichwani.
Sahihisho mkuu..iddi pazi 'faza' hajawahi kucheza African sports alikuwa nyota ya mtwara kipindi hicho!Kwenye hiyo picha ya Taifa Stars, Kutoka kushoto ni:
Godian Mapango (Pan), Salim Amir (Balimi-Bukoba), Idi Pazi (African Sports), George Kulagwa (Simba), Thuwein Ally (Simba), Ibrahim Kiswabi (Pan), Peter Tino (African Sports), Omar Hussein (Yanga), Juma Mkambi (Yanga), Hussein Ngulungu (Pan), Juma Matokeo (Pan), Mohamed Salim (Coastal), Adolf Rishard (Pan).
Uwanja wa Ndege ni Dar Esalaam International Airport, Terminal 1
Sahihisho mkuu..iddi pazi 'faza' hajawahi kucheza African sports alikuwa nyota ya mtwara kipindi hicho!
Pamoja mkuu!Inaweekana, maana kama umeona thread yangu nimesema wengine msahihishe pale ambapo nimesahau.