Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
- Thread starter
-
- #21
Watoto wa juzi juzi mna shida sana, hii ndio timu bora iliyofikia highest peak kiasi kwamba kilichokuwa kinasubiriwa msimu unaofuata wa 2006/7 ilikuwa ni kushuka kiwango tu. Unaanzaje kumuacha deco, marques, gaucho at his best.. Henry alifika barca ikiwa imeshukaView attachment 1800616
Mpira waliocheza usiku wa hizo 5-0 unasemwa hakuna timu yoyote duniani iliyoweza kucheza hivyo.
Kabla ya hapo inatajwa Brazil ya 1970.
Na usiku mwingine wa fainali na Man u walioshinda 3-1.
Barca hiyo haiwezi tena kutokea. Ninayo video ya 5-0 dhidi ya Madrid huiangalia mara kwa mara.
Nakubaliana na mleta Mada
Ilikua ushafungwa kabla ya kuingia uwanjani........
Daaah united yangu mie[emoji24][emoji24]
Kama hii ndio ile iliyoshinda mataji 6 kwenye msimu mmoja naungana na wewe
Van bomel kiungo mtataWatoto wa juzi juzi mna shida sana, hii ndio timu bora iliyofikia highest peak kiasi kwamba kilichokuwa kinasubiriwa msimu unaofuata wa 2006/7 ilikuwa ni kushuka kiwango tu. Unaanzaje kumuacha deco, marques, gaucho at his best.. Henry alifika barca ikiwa imeshukaView attachment 1800616
Timu ya kwanza kutwaa mataji sita kwa msimu mmoja, yaani walitwaa kila taji katika kila shindano waliloshiriki msimu huoTueleze mafanikio yao kwa misimu husika.
Fergie alikuwa na timu mbovu tuu japo Barcelona ilikuwa iko vizuri sana kwenye peak, yaani Xavi againBarca hii haikuwa bora kuliko iliyompiga madrid 5-0 au iliyomtetemesha ferguson
Jairzinho, Tostao, Pele, Carlos Alberto inatajwa kama timu bora ya wakati wote katika fainali za kombe la dunia.Brasil 1970
Kosa kubwa la kikosi hiki ni kuwa hakikuwa balanced, kuuzwa kwa Claude Makelele kulileta balaa kubwa sana kikosini. Hapo ni majina (Galacticos)
Je ile iliyomgaragaza Man U 3-0 fainali...? π π πBarca hii haikuwa bora kuliko iliyompiga madrid 5-0 au iliyomtetemesha ferguson
Hawa jamaa ulikuwa wakijiangusha tu, kuna mtu anaweza kula kadi ya kubandikizwa hapo! π€£ π€£ π€£ Walidekezwa sana...Hi Barca ilikuwa tishio Sana..nikiwakumbuka INIESTA NA XAVI..walikuwa wanakichafua katikati sijapata kuona..laikini walikuwa na tatizo la kubebwa na ma refa..pia kujiangusha angusha.. lakini kwa mpira mzuri walikuwa kiboko kwakweli..
Lakini sisi Chelsea tuliwapa tabu..na mpira wetu wa hovyo hovyo..
Hiyo ya Eto'o na Henry haikuwa bora kama ya Pedro, Messi, DVilla, Bosquets, Andres, Xavi.. Hatari sanaBarca hii haikuwa bora kuliko iliyompiga madrid 5-0 au iliyomtetemesha ferguson
Acha uongo. Goli la Rooneyyy unaliweka wapi?Je ile iliyomgaragaza Man U 3-0 fainali...? π π π
Hiyo hatuhesabu! π€£ π€£ π€£Acha uongo. Goli la Rooneyyy unaliweka wapi?
Ni kweli walidekezwa lakini pia walikuwa vizuri Sana..Hawa jamaa ulikuwa wakijiangusha tu, kuna mtu anaweza kula kadi ya kubandikizwa hapo! π€£ π€£ π€£ Walidekezwa sana...
BarΓ§a for lifeKwangu mimi hii ni timu bora ya wakati wote kwa ngazi ya klabu. Walifanya kila kitu katika mchezo wa soka, walinyanyasa timu zote kubwa, ilikuwa ushafungea kabla ya kuingia uwanjani. Unakubaliana na mimi? Karibu kwa hoja
View attachment 1800256
Hii ndio ile barca ambayo Mourinho alimwambia GuardiolaKwangu mimi hii ni timu bora ya wakati wote kwa ngazi ya klabu. Walifanya kila kitu katika mchezo wa soka, walinyanyasa timu zote kubwa, ilikuwa ushafungea kabla ya kuingia uwanjani. Unakubaliana na mimi? Karibu kwa hoja
View attachment 1800256