Hii ni timu bora ya wakati wote, nipinge kwa hoja

Hii ni timu bora ya wakati wote, nipinge kwa hoja

Mpira waliocheza usiku wa hizo 5-0 unasemwa hakuna timu yoyote duniani iliyoweza kucheza hivyo.

Kabla ya hapo inatajwa Brazil ya 1970.
Na usiku mwingine wa fainali na Man u walioshinda 3-1.

Barca hiyo haiwezi tena kutokea. Ninayo video ya 5-0 dhidi ya Madrid huiangalia mara kwa mara.

Nakubaliana na mleta Mada

[emoji1316]
 
Hi Barca ilikuwa tishio Sana..nikiwakumbuka INIESTA NA XAVI..walikuwa wanakichafua katikati sijapata kuona..laikini walikuwa na tatizo la kubebwa na ma refa..pia kujiangusha angusha.. lakini kwa mpira mzuri walikuwa kiboko kwakweli..
Lakini sisi Chelsea tuliwapa tabu..na mpira wetu wa hovyo hovyo..
 
Brasil 1970
Jairzinho, Tostao, Pele, Carlos Alberto inatajwa kama timu bora ya wakati wote katika fainali za kombe la dunia.

japo kuna wengine wanadai Brazil ile ya 1982 iliyoshiriki fainali za kombe la dunia pale Spain, ilikuwa bora sana ingawa ilishindwa kutwaa ubingwa, iliundwa na mafundi kama Socrates, Zico (Pele Mweupe), Falcao, Eder
 
Hi Barca ilikuwa tishio Sana..nikiwakumbuka INIESTA NA XAVI..walikuwa wanakichafua katikati sijapata kuona..laikini walikuwa na tatizo la kubebwa na ma refa..pia kujiangusha angusha.. lakini kwa mpira mzuri walikuwa kiboko kwakweli..
Lakini sisi Chelsea tuliwapa tabu..na mpira wetu wa hovyo hovyo..
Hawa jamaa ulikuwa wakijiangusha tu, kuna mtu anaweza kula kadi ya kubandikizwa hapo! 🤣 🤣 🤣 Walidekezwa sana...
 
Kwangu mimi hii ni timu bora ya wakati wote kwa ngazi ya klabu. Walifanya kila kitu katika mchezo wa soka, walinyanyasa timu zote kubwa, ilikuwa ushafungea kabla ya kuingia uwanjani. Unakubaliana na mimi? Karibu kwa hoja
View attachment 1800256
Hii ndio ile barca ambayo Mourinho alimwambia Guardiola
Screenshot_20210529-131615.png
"husishangilie subiri filimbi ya mwisho"
Ilikuwa timu nzuri ila walishindwa kumnyanyasa Mourinho.
 
Naunga mkono hoja ila namashaka pale unaposema wakati wote,kivipi wakati wote?
 
Back
Top Bottom