Hii ni timu ya Taifa U23, Maajabu hayatakuja kuisha nchi hii

tuanze maandalizi mapema,hawa wanyolewe ndevu zote,wanyolewe na vipara itafaa zaidi kwa mujibu wa umri wao mpya
 
Kikoti si ni Mzee wa Busara!

Metacha naye ni U23 kweli? Mbona hili taifa linacheza na hisia za watu hivi.

Reliants Lusajo naye eti ni U23.
Huyo Lusajo katolewa muongozo ila Metacha kafunikwa
 
Muwe mnauliza basi sio kupinga tu aya mashindano yanaongeza watu 3 wenye umri zaidi ya 23 wachezaji wenye nyota ndio hao 3 waliozidi umri
 
Kama pana sababu nyingine sawa lakini bado hatujifunzi tukio la kudanganya liliisha tukuta (nurdin bakari )na jambo hili nchi za afrika magharibi liliwakuta sana na ndio sababu wachezaji wao hawadumu katika soka kwa muda mrefu sababu ya kudanganya umri tuwe makini
 
Bongo ndio maisha yetu haya. Mbona jana Paula ametimiza miaka 19 wakati tulisoma nae mwaka mmoja O Level akafeli. Wanataka kusema alianza shule akiwa na miaka mitatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…