Hii ni timu ya Taifa U23, Maajabu hayatakuja kuisha nchi hii

Hii ni timu ya Taifa U23, Maajabu hayatakuja kuisha nchi hii

Muwe mnauliza basi sio kupinga tu aya mashindano yanaongeza watu 3 wenye umri zaidi ya 23 wachezaji wenye nyota ndio hao 3 waliozidi umri
Tunajua,lakini hapa kuna njemba kama saba zinawajukuu
 
goal_giorgio-chiellini-italy-training-session-06012019_1ny6l56i3jyd1u74ow8x2zc13.jpg
Chiellini 35 years

45580713-0-image-m-29_1626600097723.jpg
Robert Lewandowski 32 years
 
nakumbuka enzi za wema sepetu na miaka yake 18 tangu namsikia 2006 hadi 2018 nasikiaga miaka yake iligoma kusogea mbele
 
Back
Top Bottom