Hii ni zaidi ya laana, ona kinachofanywa na huyu mama na mwanae wa kiume

Kuna watoto ukiwaona moyo huwa unaumia unabaki unajiuliza walimkosea nini Mungu wao hata wakazaliwa na aina ya wazazi walio nao
 
Kiufupi wote ni watoto wanafanya utoto wao!!
 
Dogo kashaharibiwa na mama yake hebu imagine atakuja kuwa baba wa aina gani kwa watoto wake atakapokuja kuwa baba
Ili jamii iwe salama zaidi kwa wale wanaoamini katika uwepo wa Mungu na uumbaji, inabidi waanze kukubali kama wanavyokubali kwamba Mungu anaumba basi watambue shetani naye na miungu wengine na wao pia wanaumba rejea Mwanzo 1:26 Kisha Mungu akasema, “Tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; atawale samaki wa baharini, ndege wa angani, wanyama wa kufugwa, dunia yote na viumbe vyote vitambaavyo.”
Mstari huo unathibitisha kwamba either watu walishawahi kuwepo, ila Mungu hakuridhishwa na hao au akaamua kutoka kwenye watu waliokuwepo akaamua watengeneze version nyingine ya watu watakaofanana na wao (Yeye).
Hivyo watu wanapaswa kuwa makini kwa kutambua kwamba iwe ni katika uumbaji au kuzaliwa basi vyanzo vya watu ni tofauti siyo wote ambao ni mfano wa Mungu, wengine ni mifano ya miungu mingine, ni kazi ya miungu wengine ni mawakala wa miungu wengine ila tu kilichopo ni kwamba wana share form or image ya “utu”, kama wanavyo share makaazi yaani dunia.
Watu wakilijua hilo wanaweza wakawa salama zaidi, itawasaidia kupunguza kushangaa na kuipa laana sifa, kashfa na ukubwa usio stahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…