Hii ni zaidi ya laana, ona kinachofanywa na huyu mama na mwanae wa kiume

Huko mbele mwanaume ametolewa meno yote ktk malezi. Custody anapewa mama anaweza cheza na mifumo kukwa na zuio la kuto wasogelea huku wakivuna Alimony na Child support.
 
Umeongea sahihi kabisa!tunajifanya wema sana lakini ni wanafiki wakubwa sana!kuna mambo machafu sana yanafanyika kwenye jamiii/familia zetu ila tunajifanya ni watu wema!!
 
Sijaona shida hapo.

Wanaongea kwa furaha kabisa.

As long as hawafanyani hamna shida.

Tunaokaa ughaibuni hatuoni shida hizo mambo.
 
Laantullah..
Ila single maza hawajizalishi wenyewe..
Halafu tukio la mmoja usiligeneralise kwa wote.
 
watu wa amerika kusini ni dunia nyingine ile
 
Watu ni wanafiki wakati Tanzania makabila mengi wanaume wanakula watoto wao wa kike
 
unakuta mtu ni anatesa yatima na kudhulumu haki za watu naye anajifanya kusikitishwa na hilo jambo. #unafiki
 
Kawaida tu, Tanzania hii wengi wanakulana, hatuyaoni tu.

Unamkuta mtoto kajazwa mimba baba hajulikani, kama hajajazwa na babake kajazwa na nani?
Afuu mkuu inaonekana unaweza kumlala mamaako au ushawai kumlala mama ako,koo za kisimbaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…