Hii ni zaidi ya special school mchango wake ni mkubwa kwa taifa.

spleen

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
4,079
Reaction score
6,788
Ni Kibaha sec school kwa waliosoma pale au ndugu zao waliopitia pale watakubaliana na mimi,Mzumbe,Ilboru na kilakala,Feza,Marian zote ni shule nzuri lakini hii ina cha ziada,ingekuwa vizuri kwa wadau(private) na serikali kuhakikisha shule nyingi zinakuwa kama hii,nawasilisha.
 
Mmeanza tena na ujinga ujinga wenu wa spesho skul. Fanyeni kwanza ya maana yanayoendana na uspesho ndo mje hapa la sivyo kaeni kimya kwani hamna uspesho wowote.
 
Special skul mnatumia mafuta kusoma au mnapewa boom?? Mbona hamna point ya maana uliyoandika hapa...kibaha afu iweje?? Kama huna la kufanya kamaidie mama ako kuosha vyombo kuliko kuandika pumba kama hizi..***mbavu sana...
 
vigezo vilivyo kufanya uione ni zaidi ya nyingine ni vpi?
 
Mmeanza tena na ujinga ujinga wenu wa spesho skul. Fanyeni kwanza ya maana yanayoendana na uspesho ndo mje hapa la sivyo kaeni kimya kwani hamna uspesho wowote.
ni mtazamo tu mkuu,ukitaka jua special skull ni akina nani nenda pale Coet(UD),Muhas,MZ(Baf)
 
Special skul mnatumia mafuta kusoma au mnapewa boom?? Mbona hamna point ya maana uliyoandika hapa...kibaha afu iweje?? Kama huna la kufanya kamaidie mama ako kuosha vyombo kuliko kuandika pumba kama hizi..***mbavu sana...
mkuu ni mtazamo tu utake usitake hawa jamaa wanatisha haimaniishi skuli zingine hakuna sema wachache sana,kuwa shahidi kwenye chuo uliocho mtafute jamaa mmoja kutoka pande hizo mfanyie research utaona tofauti,mi mwenyewe nimesoma Kayumba kama wewe sema naliona balaa la hawa jamaa hapa Coet
 
"mwanangu kua uyaone elimu imekosa thamani necta imevuja kibaha"-R.O.M.A
huo ndo uspesho unaouongelea
 
ni mtazamo tu mkuu,ukitaka jua special skull ni akina nani nenda pale Coet(UD),Muhas,MZ(Baf)

Teh teh teh wacha maskhara bana!

Hakuna uspesho wowote hapo COET na hakuna wanafunzi spesho.
 
vigezo vilivyo kufanya uione ni zaidi ya nyingine ni vpi?
Hawa jamaa nimewa-note kuanzia first year hadi kwenye baadhi ya department wapo aware sana na changamoto za kibongobongo alafu ni intellectual kinoma njoo Coet hapa u-prove binafsi nilisoma Feza boys na niliingia top ten ila tofauti naiona kati ya kuwa na akili na kufaulu mtihani
 
punguza dharau kuna waliosoma shule nzuri kuzidi hiyo yako
Sijakudharau mkuu hata hivyo nimeanzisha huu uzi,ila binafsi nimesoma shule ya kata,sema hawa jamaa nimekutana nao hapa chuo wengi weo ni ma-great thinker kama wewe
 
"mwanangu kua uyaone elimu imekosa thamani necta imevuja kibaha"-R.O.M.A
huo ndo uspesho unaouongelea
huwezi mzuia msanii anayetafuta vina,ila mbona watu wengi wanawapinga hawa jamaa eti jamani kwa wale waliopitia MUHAS,COET na MZUMBE UNIV. watupe uzofu wetu tujilizishe
 
Special skul mnatumia mafuta kusoma au mnapewa boom?? Mbona hamna point ya maana uliyoandika hapa...kibaha afu iweje?? Kama huna la kufanya kamaidie mama ako kuosha vyombo kuliko kuandika pumba kama hizi..***mbavu sana...
next time reply;umejibu kwa ghazabu na matusi mengi kwa mimi mtoa mada.....na hiyo ndio tofauti kati ya hawa jamaa na wewe,they are so smart(expected leaders)
 
Mara umesoma Feza, mara umesoma shule ya kata? Ipi ni ipi, au siku hizi Feza imekuwa ya kata?

Pili kama alivyokuuliza Lady N, unapaswa kuja na founded reasons as to why do you think there is something special about Kibaha. Kwamba COET ina wanafunzi wanaofanya vizuri na wote wanatoka Kibaha haitoshi ku-justify argument yako.

Kwa kuongezea pia unahitaji ku-justify sababu za kuifanya shule kuwa special -- kwa sababu kama Kibaha inachukuwa wanafunzi kwa kufuata utaratibu wa kawaida (conventional), kwa kutumia mitihani ile ile (kama wengine ambao hawakusoma special school) na wanafunza na walimu wa kawaida, kufuata mtaala wa kawaida; kwa kifupi they are subjected to all that is common to any other secondary school student in TZA who studies under MoEVT/NECTA system, then what makes this school stand out of the crowd?

NB:

special adj - distinguished by a unique or unusual quality (Wiktionary)
 
Last edited by a moderator:
huwezi mzuia msanii anayetafuta vina,ila mbona watu wengi wanawapinga hawa jamaa eti jamani kwa wale waliopitia MUHAS,COET na MZUMBE UNIV. watupe uzofu wetu tujilizishe

Teh teh...niko nao chuon na wao ndo wanaongoza kulamba bellow..au wew unasemea uspecial gan...jua jib zuri hutolewa kwa swal zuri...sasa kama wewe umeleta mada ya kijinga unataka jibu zuri upeleke wap?? Mind u...uspesho miaka hakunaga..wote wanakula zero na wote wanafaul..sasa wew endelea kupiga makelele na uspesho uone utaishia wapi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…