Hii ni zaidi ya special school mchango wake ni mkubwa kwa taifa.

Mkuu mbona mi sijasoma special na uwezo wangu ni wa kawaida sana,alafu sijasema wote ila wengi wao ni bilaa we mwenyewe ni shahidi hapo chuoni kwako,alafu sijasema kwamba huwa hawapati below ila intellectual capacity yao ni kubwa(kufaulu sana si kuwa na akili sana;ETI WANANGOZA KULAMBA BELOW KIBAHA HAWA HAWA NINAOWAJUA MIMI DUH KWELI MAJUNGU YAPO
 
kifupi o level nimesoma kata sema Advance nilipata bahati ya kumalizia Feza;ila hata hayo maswalì unayojiuliza hata mimi ndìo point yangu ya msingi,hata hivyo sio kwamba wanaofanya vizuri wote wametoka kibaha ila hata hao wanaopiga kawaida intellectual capacity yao inanifanya niamiani kwamba kuna cha ziada kwenye ile shule
 
Last edited by a moderator:
Special skul mnatumia mafuta kusoma au mnapewa boom?? Mbona hamna point ya maana uliyoandika hapa...kibaha afu iweje?? Kama huna la kufanya kamaidie mama ako kuosha vyombo kuliko kuandika pumba kama hizi..***mbavu sana...

Hahahahaaaa
 
Sijakudharau mkuu hata hivyo nimeanzisha huu uzi,ila binafsi nimesoma shule ya kata,sema hawa jamaa nimekutana nao hapa chuo wengi weo ni ma-great thinker kama wewe
Nitajie Great thinkers kumi tu na mchango wao walioutoa kwa taifa hili.kama hamna basi mi nadhani hao jamaa ni mabingwa wa kukariri.
 

Mkuu,nimesoma O level Mzumbe,na Advance Kibaha,sasa ukiniambia Kibaha ni shule bora kuliko Mzumbe sikuelewi!
Labda ueleze kivipi?
 
Vipi, kwani hapajawahi kuchangia ZERO za kitaifa hapo?
 
We mtoa mada hujitambui...ngojea matokeo yenu ya fom4 yatoke ndo uje hapa...
 
We hujielew wewe...hakuna interllectual wala nin ...point yang ni kwamba uspesho ni bichwa lako si kibaha wala uchafu mwngine wowote ule..
 
huwezi mzuia msanii anayetafuta vina,ila mbona watu wengi wanawapinga hawa jamaa eti jamani kwa wale waliopitia MUHAS,COET na MZUMBE UNIV. watupe uzofu wetu tujilizishe
mimi nasoma muhas first year, yes specials ni zaidi ya nusu, mkuu kuna peoples zina challenge kupita watu wa special school japo special wametawala!natukifika huku tunauvua uspecial na u T.O wote tunakuwa sawa!unaweza ukaushabikia uspecial halafu ukadisco! H/work mtafute japhet john akuelezee zaidi telecom mwaka wa tatu akupe advice zaidi!
 
Wamevumbua kitu gani tena huko mkuu?maana sioni uspecial wao kwenye maendeleo ya technology.Labda kwenye msuli ndo nawakubali,wanapiga msuli utadhani slow learners wakati wengine tunagusa tu then tunapata vibanda.
 
Mi shule ya msing nimesoma kijijin tena porin O'level nkachaguliwa shule ya kata. Advance nmesoma Kazima. Na sasahv nko chuo kikuu nasoma na hao vilaza wa kibaha wala cjaona cha ziada walichonacho kunishnda mimi. Hayo ni mambo ya kizaman bro, ni sawa na sasahv tunavyojsfia kusoma Udsm, lakin co kwel kwamba cc ni bora kuliko wanasoma Udom,SAUT ,St John. Intellectual capability ni ile ile. Sema huwa tunataka kuleta mizaha na mijadala mitandaon tu! Ucjaribu tena ckunyingne kuleta mada za kijnga kama hyo.
 

kula tano
 
Wamevumbua kitu gani tena huko mkuu?maana sioni uspecial wao kwenye maendeleo ya technology.Labda kwenye msuli ndo nawakubali,wanapiga msuli utadhani slow learners wakati wengine tunagusa tu then tunapata vibanda.

Hahahahaaaa nme ipenda hyo mkuu
 
Hao unaowaita special wamesaidia nini hili taifa la watunza-nia?
 
hayo ndo matatizo ya sisi wabongo kuongelea mambo yasiyo na maana yoyote katika jamii.huyu aliyeanzisha hii thread kila mtihani hao wajamaa wanamchomoa so ndo ameona atuletee hapa tuone jinsi anavyoendeshwa class
 
Wee! kuna Minaki ice cool tunapiga misuli mpaka porini hatuogopi simba wala chui ©© watotowa paka
 
Unawasilisha nini? Na shule zingine ziwe kama hiyo kwani hiyo ikoje? Dadavua maana hueleweki.
 
Wee! kuna Minaki ice cool tunapiga misuli mpaka porini hatuogopi simba wala chui ©© watotowa paka
We hujitambui...kusomea porin ni ujanja???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…