Mara umesoma Feza, mara umesoma shule ya kata? Ipi ni ipi, au siku hizi Feza imekuwa ya kata?
Pili kama alivyokuuliza
Lady N, unapaswa kuja na founded reasons as to why do you think there is something special about Kibaha. Kwamba COET ina wanafunzi wanaofanya vizuri na wote wanatoka Kibaha haitoshi ku-justify argument yako.
Kwa kuongezea pia unahitaji ku-justify sababu za kuifanya shule kuwa special -- kwa sababu kama Kibaha inachukuwa wanafunzi kwa kufuata utaratibu wa kawaida (conventional), kwa kutumia mitihani ile ile (kama wengine ambao hawakusoma special school) na wanafunza na walimu wa kawaida, kufuata mtaala wa kawaida; kwa kifupi they are subjected to all that is common to any other secondary school student in TZA who studies under MoEVT/NECTA system, then what makes this school stand out of the crowd?
NB:
special
adj - distinguished by a unique or unusual quality (Wiktionary)