Mkuu hayo mambo ni ya kawaida sana, mimi mwanzoni nilikuwa naona noma sana ila now nimeshazoea. Halafu mke wangu akiwa na stori za umbea (Udaku) mara nyingi ananiambia nikiwa nakun***
Uko sahihi Bujibuji. Hicho ni kichaa. Wapo wanaopenda harufu za vinyesi na huweza hata kujipakaza mwilini na kufurahi. Mchunguze mkeo, hayuko sawa.
Hahaahahhaahahhahahahahhahahah kudadeki watu wako wa aina mbalimbali....
Hakika iko siku atakuomba umruke ukuta, wewe fikiri mtoto wa miaka 2 tu hataki kuonekana, je huyo mtu mzima atakuwa sawa akilini? Upuuzi mtupu
Kukata GoGo mbele ya mke wangu.
Wife wangu hana shida kabisa anaweza kukata GoGo mbele yangu, Labda mi nipo bafuni au napiga mswaki yeye hana shida anakata GoGo lake mi nampita hapo hata hafungagi mlango.
Tatizo mi hajawahi kuniona hata siku moja tangu tufunge ndoa miaka 6 iliyopita, na amekuwa akiniuliza kwanini namuonea aibu, mwanzoni nilidhani utani lakini sasa ameshikilia bango kwanini namuogopa au sijiamini kukata GoGo mbele yake. Sasa jamani mi siwezi kabisa nahisi kama GoGo halitatoka, yani mtu unakata GoGo halafu mtu akuangalie mi siwezi. Imenibidi niwe nabadilisha ratiba niwe nakata GoGo ofisini ili asinishike, lakini najua ipo siku nitazidiwa nikiwa home, nimekuwa nikimkwepakwepa kiutani lakini namuona mwenzangu yupo serious, ameshanipa na maneno kwamba siku nikiumwa nani atanitawaza kama sio yeye, na madongo mengine kibao ambayo naona yana ukweli. Lakini Jamani siwezi, sina confo kabisa.
sioni namna ya kutoka hapa. Vipi we unaweza kukata GoGo mbele ya mkeo/mumeo!!!.
Mkuu yawezekana unadowload gb kubwa ndo maana unaogopa.
Jaribu kudownload akiwa anakuona
Hahahahaaaa kweli aisee gogo ni ngumu sana kufanywa hadharani.:lol:ha ha ha ha, duh kukata gogo mbele ya mtu labda uwe unaumwa na breki za magogo zimekatika vinginevyo ni kukupasua kichwa tu.
kuna mambo mengine mara nyingi ni privy kati ya mme na mke........inategemea mmezoeshana ka kiasi gani.......mi mara nyingi naona wanawake ndio wenye aibu zaidi juu ya hii mambo kuliko wanaume........hii kitu ya kunya pamoja.......pia inaendana sana na mambo mengine ambayo ni privy sana..(haswa kwa manzi) mfano......kunyoa mavuzi pamoja(nani amewahi kumwona demu wake au wife akinyoa mavuzi au kwapa???), au kujamba (nani amewahi kumsikia demu au wife wake akijamba kwa nguvu buuuuuuu mbele yake??).......hii mambo yote ina husiana sana na privy sana (haswa kwa mademu)>...........
tehe tehe tehe!!!! hii kali kweli..kwani najua siku zote harufu ya gogo inatofautiana..sa sijui kama na wewe unawezaje kuvumilia hiyo harufu yake akiwa anakata gogo afu wewe pembeni unapiga mswaki? hiyo huwa ni privacy ya mtu na kuna raha yake ukikata gogo mwenyewe huku unaweka pozi mbalimbali..