Hii nimeshindwa kabisa, nipeni maujanja!!!!

Hii nimeshindwa kabisa, nipeni maujanja!!!!

tehe tehe tehe!!!! hii kali kweli..kwani najua siku zote harufu ya gogo inatofautiana..sa sijui kama na wewe unawezaje kuvumilia hiyo harufu yake akiwa anakata gogo afu wewe pembeni unapiga mswaki? hiyo huwa ni privacy ya mtu na kuna raha yake ukikata gogo mwenyewe huku unaweka pozi mbalimbali..
 
Mkuu hayo mambo ni ya kawaida sana, mimi mwanzoni nilikuwa naona noma sana ila now nimeshazoea. Halafu mke wangu akiwa na stori za umbea (Udaku) mara nyingi ananiambia nikiwa nakun***

Acheni ujinga, kuna mambo ya private yanayomhusu mtu binafsi na hilo ni mojawapo, hata kwa mwanamke mstaarabu hawezi kumwonyesha pedi mume wake hayo ni mambo ya private, labda itokee dharura au jambo la kuzidiwa kama ugonjwa nk. Mkianzia hapo baadaye utakuta unamtia kidole mwisho unamsodoma.
 
Uko sahihi Bujibuji. Hicho ni kichaa. Wapo wanaopenda harufu za vinyesi na huweza hata kujipakaza mwilini na kufurahi. Mchunguze mkeo, hayuko sawa.

Hakika iko siku atakuomba umruke ukuta, wewe fikiri mtoto wa miaka 2 tu hataki kuonekana, je huyo mtu mzima atakuwa sawa akilini? Upuuzi mtupu
 
Hahaahahhaahahhahahahahhahahah kudadeki watu wako wa aina mbalimbali....

Hakika nimeamini ukiona binadamu mwenzio usiamini kuwa yuko sawa na wewe kuna wengine maVampire kupitia hii sasa sitawaamini kamwe wanadamu. Shit!
Jamani mwisho wa dunia ni lini? Haya mambo yanazidi sasa
 
Hakika iko siku atakuomba umruke ukuta, wewe fikiri mtoto wa miaka 2 tu hataki kuonekana, je huyo mtu mzima atakuwa sawa akilini? Upuuzi mtupu

hii kitu ni ya kipuuzi haswa, ni ujinga mtupu
 
Du hii sredi ni best ndani ya miaka 50 ya uhuru:
Demu wako anataka umle nyuma ndo maana anafanya hayo mambo ili usione aibu kumwambia
 
Kwa binadamu wa kwaida sio jambo la kawaida. Ila kwa shemeji yetu inaonekana ni kitu ambacho amezoea tu mazingira aliokulia. Kwa kuwa mpo pamoja mda mrefu, jitaidi muelimishane tu. Hata hivyo sioni kama ni tishio kwa aina yeyote kwenye mapenzi yenu pale unavokataa au kushindwa kufanya icho kitendo
 
hata mie siwezi kwa kweli,mnh mbona yatagoma lol
 
Mkuu yawezekana unadowload gb kubwa ndo maana unaogopa.
Jaribu kudownload akiwa anakuona
 
am not getting ze photograf,lol!ila hata wangu anaweza kufanya hayo mbele yangu,nshamuona mara kadhaa,labda na napiga mswaki na kabanwa wala hanaga hiana,ila hajawahi nilazimisha na mimi!huyo wako atakuwa na mfadhaiko wa kupenda harufu za choo
 
Kukata GoGo mbele ya mke wangu.

Wife wangu hana shida kabisa anaweza kukata GoGo mbele yangu, Labda mi nipo bafuni au napiga mswaki yeye hana shida anakata GoGo lake mi nampita hapo hata hafungagi mlango.

Tatizo mi hajawahi kuniona hata siku moja tangu tufunge ndoa miaka 6 iliyopita, na amekuwa akiniuliza kwanini namuonea aibu, mwanzoni nilidhani utani lakini sasa ameshikilia bango kwanini namuogopa au sijiamini kukata GoGo mbele yake. Sasa jamani mi siwezi kabisa nahisi kama GoGo halitatoka, yani mtu unakata GoGo halafu mtu akuangalie mi siwezi. Imenibidi niwe nabadilisha ratiba niwe nakata GoGo ofisini ili asinishike, lakini najua ipo siku nitazidiwa nikiwa home, nimekuwa nikimkwepakwepa kiutani lakini namuona mwenzangu yupo serious, ameshanipa na maneno kwamba siku nikiumwa nani atanitawaza kama sio yeye, na madongo mengine kibao ambayo naona yana ukweli. Lakini Jamani siwezi, sina confo kabisa.

sioni namna ya kutoka hapa. Vipi we unaweza kukata GoGo mbele ya mkeo/mumeo!!!.

duh! hii mada imenifikirisha mbali sana, huyo MKEO! what is she up to? kwan nini anataka akuone ukikata GOGO? huyo mchunguze kwa makini kwa mie mwanasaikolojia nimeenda extra mile kumfikiria mkeo, lazima anatamani kamchezo ka huko gogo linakotokea! loh anataka uzoee kukata gogo, mwisho aanzishe mchezo mtawazane mwisho muingiziane... aaah huyo mchunguze tu ana zaidi ya kutaka ukate gogo, sipati picha interest gani hiyo ya kuona vitu vya aina hiyo jamani????!!! samahani kwa kumfikira vibaya mkeo.
 
Ni jambo la kawaida na ni hulka ya mtu.Mwenyewe siezi kabisa kufanya hivyo mbele ya mpenzi wangu
 
ha ha ha ha, duh kukata gogo mbele ya mtu labda uwe unaumwa na breki za magogo zimekatika vinginevyo ni kukupasua kichwa tu.
Hahahahaaaa kweli aisee gogo ni ngumu sana kufanywa hadharani.:lol:
 
kuna mambo mengine mara nyingi ni privy kati ya mme na mke........inategemea mmezoeshana ka kiasi gani.......mi mara nyingi naona wanawake ndio wenye aibu zaidi juu ya hii mambo kuliko wanaume........hii kitu ya kunya pamoja.......pia inaendana sana na mambo mengine ambayo ni privy sana..(haswa kwa manzi) mfano......kunyoa mavuzi pamoja(nani amewahi kumwona demu wake au wife akinyoa mavuzi au kwapa???), au kujamba (nani amewahi kumsikia demu au wife wake akijamba kwa nguvu buuuuuuu mbele yake??).......hii mambo yote ina husiana sana na privy sana (haswa kwa mademu)>...........

Hah.... hizo nywele mbona kunyoana ni kawaida tu.... hiyo rahisi sana. Kasheshe GoGo.
 
HAHHAHAAHHA, hyo issue iko private sana, try to make her to understand ur situation. hahahhaha so fun
 
tehe tehe tehe!!!! hii kali kweli..kwani najua siku zote harufu ya gogo inatofautiana..sa sijui kama na wewe unawezaje kuvumilia hiyo harufu yake akiwa anakata gogo afu wewe pembeni unapiga mswaki? hiyo huwa ni privacy ya mtu na kuna raha yake ukikata gogo mwenyewe huku unaweka pozi mbalimbali..

GRAUCHO ! Si umalizie tu kuzitaja hizo pozi! Pozi ya kwanza kama yangu huku nakata gogo huku natiririsha mi'thread !
 
Kukata GoGo mbele ya mke wangu.

Wife wangu hana shida kabisa anaweza kukata GoGo mbele yangu, Labda mi nipo bafuni au napiga mswaki yeye hana shida anakata GoGo lake mi nampita hapo hata hafungagi mlango.

Tatizo mi hajawahi kuniona hata siku moja tangu tufunge ndoa miaka 6 iliyopita, na amekuwa akiniuliza kwanini namuonea aibu, mwanzoni nilidhani utani lakini sasa ameshikilia bango kwanini namuogopa au sijiamini kukata GoGo mbele yake. Sasa jamani mi siwezi kabisa nahisi kama GoGo halitatoka, yani mtu unakata GoGo halafu mtu akuangalie mi siwezi. Imenibidi niwe nabadilisha ratiba niwe nakata GoGo ofisini ili asinishike, lakini najua ipo siku nitazidiwa nikiwa home, nimekuwa nikimkwepakwepa kiutani lakini namuona mwenzangu yupo serious, ameshanipa na maneno kwamba siku nikiumwa nani atanitawaza kama sio yeye, na madongo mengine kibao ambayo naona yana ukweli. Lakini Jamani siwezi, sina confo kabisa.

sioni namna ya kutoka hapa. Vipi we unaweza kukata GoGo mbele ya mkeo/mumeo!!!.

BIG ! Excuse nimechangia kwenye hii post lakini nikawa sijatosheka kukuelewa GoGo ! Did you mean Google huyu nduguye Wikipedia au?
 
kwanini umuogope au huwa unarembua saa ya kukata? maana kukata Gogo ni statere atiiiiiiiiii..... au mnabisha:eyebrows:
 
Back
Top Bottom