Ni kifaa kama cm kinauza, unaweza kupimia maeneo
Haina gharam.. ungepata mtu ambae yupo nacho anakupimia tu. Mm ninacho ila nipo ArushaHebu toa elimu kidogo na gharana zake.
Hahaa hili kweli ni tatizo nasijawahi kuling'amua hili kabla hebu watalamu wa mahesabu waje watupe jibu hapa inakuaje mzingo wa ekari moja 70+70+70+70=280 lkn nusu yake ambayo ni 70+35+70+35=210Sasa mkuu ukisema nusu heka ni 140 sio ukweli mana nusu heka ni 70x35 ambayo ni 70+35+70+ 35 = 210[emoji28][emoji28] tatizo hapa
Mkuu ngoja nikupe elimu kidogo, hela moja siyo 280m mizunguko, na Wala siyo mita za mraba 4900, na Wala siyo 70m*70m. Mita moja Ni mita za mraba 4046.86 hivyo Ni pungufu ya 70*70, pia Ni pungufu ya 280m kwa mizunguko au mzingo. GPS machine ndiyo upima sahihi, wanatumia Sana wapima ardhi (land surveyors)Hivi nikitaka kujua ukubwa wa eneo fulani kwa HEKA ambalo sio mraba au mstatili (eneo halina umbo mahalumu) ninafanyaje? Nilipata hii changamoto kidogo ila niliamua kupima mzunguko wake wote kwa mita (mzingo) labda nikapata mita 120 nikafanya ulinganifu kwa heka1 ina mzunguko wa 280m je 120m ni heka ngapi? Nilikuwa sahihi au kuna njia nyingine?
Hesabu ni ugonjwa wa taifaHahaa hili kweli ni tatizo nasijawahi kuling'amua hili kabla hebu watalamu wa mahesabu waje watupe jibu hapa inakuaje mzingo wa ekari moja 70+70+70+70=280 lkn nusu yake ambayo ni 70+35+70+35=210
How.?
Mwenzio ametumia mita sio miguuu, elewa somo, alafu mita na miguuu ni tofauti naa hatua ya mguu huendana na ulefu wa mtu .Kwahesabu hiyo inamaana nusu inatakiwa iwe na mzingo wa 140 kwahiyo hiyo 120 ni nusu kasoro miguu 20
Njia rahisi ni kutumia GPS:-Hivi nikitaka kujua ukubwa wa eneo fulani kwa HEKA ambalo sio mraba au mstatili (eneo halina umbo mahalumu) ninafanyaje? Nilipata hii changamoto kidogo ila niliamua kupima mzunguko wake wote kwa mita (mzingo) labda nikapata mita 120 nikafanya ulinganifu kwa heka1 ina mzunguko wa 280m je 120m ni heka ngapi? Nilikuwa sahihi au kuna njia nyingine?
Hivi nikitaka kujua ukubwa wa eneo fulani kwa HEKA ambalo sio mraba au mstatili (eneo halina umbo mahalumu) ninafanyaje? Nilipata hii changamoto kidogo ila niliamua kupima mzunguko wake wote kwa mita (mzingo) labda nikapata mita 120 nikafanya ulinganifu kwa heka1 ina mzunguko wa 280m je 120m ni heka ngapi? Nilikuwa sahihi au kuna njia nyingine?
Manually
- Divide the circumference by Ο.
- Divide the result by 2 to get the circle's radius.
- Multiply the radius by itself to get its square.
- Multiply the square by Ο, or 3.14 for an estimation.
- You found the plot's area from the circumference and it is an approximation.