Hii njia ni sahihi kujua ukubwa wa eneo kwa heka?

Machenically, heka Ni 4900 mita za mraba
Hii Ni 70 x 70 = 4900
Sasa chukua 4900 gawanya kwa upande mmoja mfano
4900/80 utapata 61.25, hivyo upande mwingine inatakiwa uwe 61.25 na sio 60

Gps ndio sahihi Ila nimekupa elimu ya mtaa bila Gps
Kamwe usijaribu kuzunguka mzingo 70+70+70+70 ndio useme heka itakula kwako
 
Nikipata mtu anayeuza kipande cha ardhi kwa hesabu za heka 1 ni sawa na 4900m² hata kama sina hela ntakopa nikinunue chap.

Anyways, heka 1 inakadiriwa kuwa sawa na 4047 m².

SUKAH
 
Kama una simu jana (Smart phone) washa GPS on..kisha pima cordinates kwa kila kona ya shamba lako ukimaliza then kokotoa kwa kutumia app.
 
Nikipata mtu anayeuza kipande cha ardhi kwa hesabu za heka 1 ni sawa na 4900m² hata kama sina hela ntakopa nikinunue chap.

Anyways, heka 1 inakadiriwa kuwa sawa na 4047 m².

SUKAH

You are very right mr. Sisi wapimaji tunakadiria ukubwa wa 4047m^2 kwa hekari moja na hata kwa GPS handheld ndo itapima kwa ukubwa huo.
Ushauri wangu kwako wew uliyehitaji kujua ukubwa wa eneo lako ni kama upo karibu na ofisi za ardhi unaweza pata assistance kutoka kwa wapima wa ardhi wa sehemu ulipo or You can measure by your own foot urefu na upana(LengthXWidth) utapata approximate ukubwa wa eneo lako
 
Shukran sana mpima, tupo pamoja.

Hivi vipimo vya heka kuwa 4900 huwa vimekadiriwa katika vipimo vya yard² na sio m², ambapo hatua 1 ya mtu mzima hukadiriwa kuwa sawa na 1 yard.

Kwa hiyo heka 1 hukadiriwa kuwa hatua 70×70 ambayo ni sawa na 4900 yard².

Sasa watu wengine huchukua tape measure na kupima mita 70x70 badala ya yards, hapo sasa ndo makosa yanapoanza kuibuka.

SUKAH
 
Circumference = pi x diameter
120 = 3.14 x d
d = 120 / 3.14
d = 38.2m

Area = (π x d x d)/4
A = (3.14 x 38.2 x 38.2)/4
A = 1146m sq out of 4900 m sq (locally approx )

= 1146/4900
= 0.23 acre (Robo eka kasoro kidogo)

Sent from my Infinix X682B using JamiiForums mobile app
 
Kosa kubwa ja kiufundi kugeuza mzingo kuwa eneo...

Hakuna namna heka utaipima kwa kanuni ya mzingo badala yake itakubidi

1. Uligawe eneo katika vipande ndipo ulipime (kama lina maumbo mengi ndani yake)

2. Uchukue mzunguko wa duara ugawe kwa pai kisha jibu utalisquare mwisho utagawa kwa kizio chako (ambapo mara nyingi heka ni 70 kwa 70- hapo kizio inakuwa 4900

3. Utumie kifaa maalumu (GPS)

Hatahivyo njia ya pili utatumia iwapo tu eneo hilo lina umbo la duara (na wala sidhani kama inawezekana eneo kuwa hivyo)

Pia upimaji wa mashamba kwa wale wasiojua ni kwamba utapima urefu zidisha kwa upana na kugawanya kwa kizio chako cha heka 4900

Mwisho nikukumbushe tu kuwa heka ekari hekta nk vyote vinasimama kuwakilisha eneo hivyo ni lazima katika kupima utahusisha kanuni mojawapo ya kutafuta eneo
 
Shukran sana mpima, tupo pamoja.

Hivi vipimo vya heka kuwa 4900 huwa vimekadiriwa katika vipimo vya yard² na sio m², ambapo hatua 1 ya mtu mzima hukadiriwa kuwa sawa na 1 yard.

Kwa hiyo heka 1 hukadiriwa kuwa hatua 70×70 ambayo ni sawa na 4900 yard².

Sasa watu wengine huchukua tape measure na kupima mita 70x70 badala ya yards, hapo sasa ndo makosa yanapoanza kuibuka.

SUKAH
Umechambua vyema sana mkuu...

Shuleni tunaita 'zamani' na 'sasa'

Zamani walitumia vipimo vya inch foot yard mile nk na ndipo kukawa na vitu kama heka na mfano wa hivyo ila mifumo ikaja kubadilishwa

Sasa siku hizi tunatumia vipimo vya milimita sentimita mita kilomita nk na ndipo kunapatikana vitu kama hekta na mfano wa hivyo

Heka ni miguu (yard) 70 kwa 70 huku
Hekta ni mita 100 kwa 100
 
Hakika mkuu.

Kikubwa tu napenda kuwasisitiza wadau kwa hizi 70x70 ziwe ni makadirio ya hatua(miguu) na sio mita.

Ama mtu akitaka kutumia mita basi apime 63.6x63.6

SUKAH
 
Nikipata mtu anayeuza kipande cha ardhi kwa hesabu za heka 1 ni sawa na 4900m² hata kama sina hela ntakopa nikinunue chap.

Anyways, heka 1 inakadiriwa kuwa sawa na 4047 m².

SUKAH
Upo SAHIHI Sana Mkuu SUKAH
 
Shukran sana mpima, tupo pamoja.

Hivi vipimo vya heka kuwa 4900 huwa vimekadiriwa katika vipimo vya yard² na sio m², ambapo hatua 1 ya mtu mzima hukadiriwa kuwa sawa na 1 yard.

Kwa hiyo heka 1 hukadiriwa kuwa hatua 70×70 ambayo ni sawa na 4900 yard².

Sasa watu wengine huchukua tape measure na kupima mita 70x70 badala ya yards, hapo sasa ndo makosa yanapoanza kuibuka.

SUKAH
Mkuu nakuja Pm tafadhali nipokee
 
Njia rahisi ni kutumia GPS:-
1) Nenda ofisi ya Halmashauri kitengo cha Ardhi uongee na mpimaji.
2) Mpeleke saiti akupimie/achukue Co-ordinates kwa kufuata maeneo ya mpaka kama utakavyomuonesha.
3) Kwa kukumia vipimo alivyochukua, atakuchorea Site Map na kukupa ukubwa wa eneo husika. Hii itakusaidia kukupa mwangaza kwa ajili
ya mipango uliyonayo na hatua zaidi.

Mfano wa kifaa wanachotumia kuchukua Co-ordinates nia kama hiki hapa [emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 1838483
Nilienda halmashauri nikaambiwa na savea....hiko kidude kukodi ni sh 100,000 kwa siku..... gharama za kuandaa ramani na kuprint 200,000 na gharama za mtaalm sh 150, 000/ jumla ya gharama kwa kaz yote 460, 000/= hapo usafiri juu yangu. Nikaondika sijarudi tena hadi leo
 
Nimewasoma wote nimegundua watz bado tupo nyuma sana The easiest way ya kupima enao la umbo lolote na hasa kama pana alama ndg ndg tu kama miti ,njia za miguu, katani, vichaka huonekana angani ni kwa kutumia GOOGLE EARTH BURE BURE KABISA NA RAHISI SANA
 
Nilienda halmashauri nikaambiwa na savea....hiko kidude kukodi ni sh 100,000 kwa siku..... gharama za kuandaa ramani na kuprint 200,000 na gharama za mtaalm sh 150, 000/ jumla ya gharama kwa kaz yote 460, 000/= hapo usafiri juu yangu. Nikaondika sijarudi tena hadi leo
Kama shida yako ni kujua tu eneo lako lina ukubwa kiasi gani basi ukiwa na GPS app kwenye smart phone yako unaweza.

Mark coordinates za kona zote za eneo lako then unakokotoa ukubwa wa eneo.

Japo haitakuwa accurate kama ukitumia vifaa vya kisaveya ila utapata makadirio ya ukubwa wa eneo lako.

Kutoka katika hiyo gps ya simu naweza pata ramani ili iwe ushaidi wakati wa mauziano??
 
Back
Top Bottom