Nikipata mtu anayeuza kipande cha ardhi kwa hesabu za heka 1 ni sawa na 4900m² hata kama sina hela ntakopa nikinunue chap.Machenically, heka Ni 4900 mita za mraba
Hii Ni 70 x 70 = 4900
Sasa chukua 4900 gawanya kwa upande mmoja mfano
4900/80 utapata 61.25, hivyo upande mwingine inatakiwa uwe 61.25 na sio 60
Gps ndio sahihi Ila nimekupa elimu ya mtaa bila Gps
Kamwe usijaribu kuzunguka mzingo 70+70+70+70 ndio useme heka itakula kwako
Nikipata mtu anayeuza kipande cha ardhi kwa hesabu za heka 1 ni sawa na 4900m² hata kama sina hela ntakopa nikinunue chap.
Anyways, heka 1 inakadiriwa kuwa sawa na 4047 m².
SUKAH
Good
- Divide the circumference by π.
- Divide the result by 2 to get the circle's radius.
- Multiply the radius by itself to get its square.
- Multiply the square by π, or 3.14 for an estimation.
- You found the plot's area from the circumference and it is an approximation.
Shukran sana mpima, tupo pamoja.You are very right mr. Sisi wapimaji tunakadiria ukubwa wa 4047m^2 kwa hekari moja na hata kwa GPS handheld ndo itapima kwa ukubwa huo.
Ushauri wangu kwako wew uliyehitaji kujua ukubwa wa eneo lako ni kama upo karibu na ofisi za ardhi unaweza pata assistance kutoka kwa wapima wa ardhi wa sehemu ulipo or You can measure by your own foot urefu na upana(LengthXWidth) utapata approximate ukubwa wa eneo lako
Umechambua vyema sana mkuu...Shukran sana mpima, tupo pamoja.
Hivi vipimo vya heka kuwa 4900 huwa vimekadiriwa katika vipimo vya yard² na sio m², ambapo hatua 1 ya mtu mzima hukadiriwa kuwa sawa na 1 yard.
Kwa hiyo heka 1 hukadiriwa kuwa hatua 70×70 ambayo ni sawa na 4900 yard².
Sasa watu wengine huchukua tape measure na kupima mita 70x70 badala ya yards, hapo sasa ndo makosa yanapoanza kuibuka.
SUKAH
Hakika mkuu.Umechambua vyema sana mkuu...
Shuleni tunaita 'zamani' na 'sasa'
Zamani walitumia vipimo vya inch foot yard mile nk na ndipo kukawa na vitu kama heka na mfano wa hivyo ila mifumo ikaja kubadilishwa
Sasa siku hizi tunatumia vipimo vya milimita sentimita mita kilomita nk na ndipo kunapatikana vitu kama hekta na mfano wa hivyo
Heka ni miguu (yard) 70 kwa 70 huku
Hekta ni mita 100 kwa 100
Kinauzwa wapi na Bei gan mkuuNi kifaa kama cm kinauza, unaweza kupimia maeneo
Upo SAHIHI Sana Mkuu SUKAHNikipata mtu anayeuza kipande cha ardhi kwa hesabu za heka 1 ni sawa na 4900m² hata kama sina hela ntakopa nikinunue chap.
Anyways, heka 1 inakadiriwa kuwa sawa na 4047 m².
SUKAH
Mkuu nakuja Pm tafadhali nipokeeShukran sana mpima, tupo pamoja.
Hivi vipimo vya heka kuwa 4900 huwa vimekadiriwa katika vipimo vya yard² na sio m², ambapo hatua 1 ya mtu mzima hukadiriwa kuwa sawa na 1 yard.
Kwa hiyo heka 1 hukadiriwa kuwa hatua 70×70 ambayo ni sawa na 4900 yard².
Sasa watu wengine huchukua tape measure na kupima mita 70x70 badala ya yards, hapo sasa ndo makosa yanapoanza kuibuka.
SUKAH
Mkuu naku pmKama una simu jana (Smart phone) washa GPS on..kisha pima cordinates kwa kila kona ya shamba lako ukimaliza then kokotoa kwa kutumia app.
Nilienda halmashauri nikaambiwa na savea....hiko kidude kukodi ni sh 100,000 kwa siku..... gharama za kuandaa ramani na kuprint 200,000 na gharama za mtaalm sh 150, 000/ jumla ya gharama kwa kaz yote 460, 000/= hapo usafiri juu yangu. Nikaondika sijarudi tena hadi leoNjia rahisi ni kutumia GPS:-
1) Nenda ofisi ya Halmashauri kitengo cha Ardhi uongee na mpimaji.
2) Mpeleke saiti akupimie/achukue Co-ordinates kwa kufuata maeneo ya mpaka kama utakavyomuonesha.
3) Kwa kukumia vipimo alivyochukua, atakuchorea Site Map na kukupa ukubwa wa eneo husika. Hii itakusaidia kukupa mwangaza kwa ajili
ya mipango uliyonayo na hatua zaidi.
Mfano wa kifaa wanachotumia kuchukua Co-ordinates nia kama hiki hapa [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1838483

Kama shida yako ni kujua tu eneo lako lina ukubwa kiasi gani basi ukiwa na GPS app kwenye smart phone yako unaweza.Nilienda halmashauri nikaambiwa na savea....hiko kidude kukodi ni sh 100,000 kwa siku..... gharama za kuandaa ramani na kuprint 200,000 na gharama za mtaalm sh 150, 000/ jumla ya gharama kwa kaz yote 460, 000/= hapo usafiri juu yangu. Nikaondika sijarudi tena hadi leo
Kutoka katika hiyo gps ya simu naweza pata ramani ili iwe ushaidi wakati wa mauziano??Kama shida yako ni kujua tu eneo lako lina ukubwa kiasi gani basi ukiwa na GPS app kwenye smart phone yako unaweza.
Mark coordinates za kona zote za eneo lako then unakokotoa ukubwa wa eneo.
Japo haitakuwa accurate kama ukitumia vifaa vya kisaveya ila utapata makadirio ya ukubwa wa eneo lako.
SUKAH