Bantugbro
JF-Expert Member
- Feb 22, 2009
- 4,473
- 4,252
The true definition of a corrupt society...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufungia watu ndani sio suluhu
Haya Marekani naona amechukua uamuzi wa Magufuli, go to work but abide closely with precautions
Kuna vinchi vingine tayari uchumi wao upo ICU, lazima viende na hii Corona View attachment 1399779
Your contributions make me laugh! 😂 very much devoid of any foresight.South Africa is tem billion better than Kenya lakini they have massive Corona statistics na wana lockdown since day one
Huna la kuniambia
Nipishe.
South Africa wamepima sampuli 197,127 ndo wakapata kesi 5,000 +ve za Corona hadi sasa. Nyinyi huko Tanzania mnatangamana bila wasiwasi ilihali mmepima chini ya sampuli 15,000! Trust me, mkipima watu zaidi ya laki moja hao SA mtawawacha na mbali sana!South Africa is tem billion better than Kenya lakini they have massive Corona statistics na wana lockdown since day one
Huna la kuniambia
Nipishe.
South Africa wamepima sampuli 197,127 ndo wakapata kesi 5,000 +ve za Corona hadi sasa. Nyinyi huko Tanzania mnatangamana bila wasiwasi ilihali mmepima chini ya sampuli 15,000! Trust me, mkipima watu zaidi ya laki moja hao SA mtawawacha na mbali sana!
Marekani ulio watumia kama mfano hapo mwanzo wanakufa kwa wingi sahii kwasababu walichukulia mzaha mzaha kama nyinyi hapo awali, lakini licha ya hivyo, marekani ni nchi yenye uchumi mkubwa kabisa, Corona ikiisha wako na $4 Trillion economic stimulus package kwahivyo uchumi wao uta recover hata kama kila mtu huko atashikwa na coronana wafe 200,000, wewe keti hapo ukijaribu kushindana na ndovu kunya, kesi zenu zikizidi na watu wengi waambukizwe uchumi utazorota zaidi kuliko kama mngeweka lock down kwa mwezi mmoja tu, na corona ikiisha hamtakua na stimulus program yeyote ambayo itashindana na ya marekani.
Ni vitu kama huu ungonjwa utafumu kwa miezi 4 zaidi kutoka sasa ,unadhani nchi za kiafrika ikiwemo Kenya itaendelea kufungia watu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninyi mbona maambukizi yenu ni sawa kabisa na yetu na mmetuzidi sababu ninyi ilianza kuchanganyia mapema sana.South Africa wamepima sampuli 197,127 ndo wakapata kesi 5,000 +ve za Corona hadi sasa. Nyinyi huko Tanzania mnatangamana bila wasiwasi ilihali mmepima chini ya sampuli 15,000! Trust me, mkipima watu zaidi ya laki moja hao SA mtawawacha na mbali sana!
Marekani ulio watumia kama mfano hapo mwanzo wanakufa kwa wingi sahii kwasababu walichukulia mzaha mzaha kama nyinyi hapo awali, lakini licha ya hivyo, marekani ni nchi yenye uchumi mkubwa kabisa, Corona ikiisha wako na $4 Trillion economic stimulus package kwahivyo uchumi wao uta recover hata kama kila mtu huko atashikwa na coronana wafe 200,000, wewe keti hapo ukijaribu kushindana na ndovu kunya, kesi zenu zikizidi na watu wengi waambukizwe uchumi utazorota zaidi kuliko kama mngeweka lock down kwa mwezi mmoja tu, na corona ikiisha hamtakua na stimulus program yeyote ambayo itashindana na ya marekani.
South Africa wamepima sampuli 197,127 ndo wakapata kesi 5,000 +ve za Corona hadi sasa. Nyinyi huko Tanzania mnatangamana bila wasiwasi ilihali mmepima chini ya sampuli 15,000! Trust me, mkipima watu zaidi ya laki moja hao SA mtawawacha na mbali sana!
Marekani ulio watumia kama mfano hapo mwanzo wanakufa kwa wingi sahii kwasababu walichukulia mzaha mzaha kama nyinyi hapo awali, lakini licha ya hivyo, marekani ni nchi yenye uchumi mkubwa kabisa, Corona ikiisha wako na $4 Trillion economic stimulus package kwahivyo uchumi wao uta recover hata kama kila mtu huko atashikwa na coronana wafe 200,000, wewe keti hapo ukijaribu kushindana na ndovu kunya, kesi zenu zikizidi na watu wengi waambukizwe uchumi utazorota zaidi kuliko kama mngeweka lock down kwa mwezi mmoja tu, na corona ikiisha hamtakua na stimulus program yeyote ambayo itashindana na ya marekani.
Stop peddling nonsense.
$4 trillion stimulus package? Over 7times bigger than the size of their own GDP🤔
Mambo ya kudandia majadiliano ya watu bila kusoma vizuri...... Nitaiweka tena hio comment na nikuonyeshe nchi gani iko na $4Trillion stimulus package...
----------
South Africa wamepima sampuli 197,127 ndo wakapata kesi 5,000 +ve za Corona hadi sasa. Nyinyi huko Tanzania mnatangamana bila wasiwasi ilihali mmepima chini ya sampuli 15,000! Trust me, mkipima watu zaidi ya laki moja hao SA mtawawacha na mbali sana!
Marekani ulio watumia kama mfano hapo mwanzo wanakufa kwa wingi sahii kwasababu walichukulia mzaha mzaha kama nyinyi hapo awali, lakini licha ya hivyo, marekani ni nchi yenye uchumi mkubwa kabisa, Corona ikiisha wako na $4 Trillion economic stimulus package kwahivyo uchumi wao uta recover hata kama kila mtu huko atashikwa na coronana wafe 200,000, wewe keti hapo ukijaribu kushindana na ndovu kunya, kesi zenu zikizidi na watu wengi waambukizwe uchumi utazorota zaidi kuliko kama mngeweka lock down kwa mwezi mmoja tu, na corona ikiisha hamtakua na stimulus program yeyote ambayo itashindana na ya marekani.
--------------------------
Alafu for th sake of argument, Marekani iko na GDP ya 20 Trillion!
View attachment 1439835
And as you can see from that comment, Iwas clearly refering to USA when I said 4 TrillionWas referring to South Africa wewe mbwa.