FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Sijawahi ona ujinga kama huo, Corona anafanya kazi night shift au? Yaani sijawahi kuelewa huo ujingaEti wakenya wameeka sheria ya kutotembea usiku😂😂😂 lakini mchana ruksa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi ona ujinga kama huo, Corona anafanya kazi night shift au? Yaani sijawahi kuelewa huo ujingaEti wakenya wameeka sheria ya kutotembea usiku😂😂😂 lakini mchana ruksa
Kuna mambo mjinga hawezi elewa, ndio maana huelewiSijawahi ona ujinga kama huo, Corona anafanya kazi night shift au? Yaani sijawahi kuelewa huo ujinga
Kwa ulichoongea inamaana huelewi. Uliza kwanza au Tumia nguvu kidogo kuelewa mantik alafu pondea kwa hoja.Sijawahi ona ujinga kama huo, Corona anafanya kazi night shift au? Yaani sijawahi kuelewa huo ujinga

Kufungia watu ndani sio suluhu
Haya Marekani naona amechukua uamuzi wa Magufuli, go to work but abide closely with precautions
Kuna vinchi vingine tayari uchumi wao upo ICU, lazima viende na hii Corona View attachment 1399779
Na nenoMarekani ni nchi 50 zimeungana pamoja (states) kila state ina gavana wake na inajimwambafy kivyake. Kila state ina serikali yake, sheria zake, mahakama zake, bunge lake. Halafu kuna serikali, mahakama, bunge la states zote, kama shirikisho.
Rais Trump kasema atafanta quarantine New York watu wasitoke. Gavana wa New York Andrew cuomo kamwambia huwezi kufanya hivyo, kwanza ni kinyume cha sheria.
Trump mwenyewe kanywea.
Gavana wa Rhode Island kasema magari yenye plate numbers za New York yakishikwa yanapita state ya Rhode Island watu watakamatwa, Gavana wa New York kamwambia nitakushitaki ukiwakamata watu wa New York, kufanya hivyo ni kinyume na katiba.
Utaona nchi gavana anamkoromea rais, halafu rais ananywea mwenyewe.
Ndiyo maana nasema Marekani si kama nchi nyingine, idea ya uhuru na utawala wa sheria imetamalaki.
Tanzania Mkuu wa Mkoa anaweza kumkoromea Rais kwa sababu Rais kavunja sheria?
By CORONA
Ansbert Ngurumo
@ngurumo
Some high-profile personalities in Tanzania who have passed on within the past 48 hours. May they rest in eternal peace!
5:59 PM · Apr 28, 2020·Twitter for Android
Niliambia Geza juzi akapinga ,this fools tuliwaambia this disease cant be hidden and will show up to shame them
Ansbert Ngurumo
@ngurumo
Some high-profile personalities in Tanzania who have passed on within the past 48 hours. May they rest in eternal peace!
5:59 PM · Apr 28, 2020·Twitter for Android
sasa hivi wanamlaumu trump tena kwa vifo vingi vitokanavyo na covid19....... dems huwa siwaelewi kabisa!Marekani ni nchi 50 zimeungana pamoja (states) kila state ina gavana wake na inajimwambafy kivyake. Kila state ina serikali yake, sheria zake, mahakama zake, bunge lake. Halafu kuna serikali, mahakama, bunge la states zote, kama shirikisho.
Rais Trump kasema atafanta quarantine New York watu wasitoke. Gavana wa New York Andrew cuomo kamwambia huwezi kufanya hivyo, kwanza ni kinyume cha sheria.
Trump mwenyewe kanywea.
Gavana wa Rhode Island kasema magari yenye plate numbers za New York yakishikwa yanapita state ya Rhode Island watu watakamatwa, Gavana wa New York kamwambia nitakushitaki ukiwakamata watu wa New York, kufanya hivyo ni kinyume na katiba.
Utaona nchi gavana anamkoromea rais, halafu rais ananywea mwenyewe.
Ndiyo maana nasema Marekani si kama nchi nyingine, idea ya uhuru na utawala wa sheria imetamalaki.
Tanzania Mkuu wa Mkoa anaweza kumkoromea Rais kwa sababu Rais kavunja sheria?
Trump alipewa taarifa mapema ajiandae, akadharau.sasa hivi wanamlaumu trump tena kwa vifo vingi vitokanavyo na covid19....... dems huwa siwaelewi kabisa!
Hii ng'ombe ilienda wapi?🤷🏾♂️🤷🏾♂️Mkumbushe huyo anayemsifia Kenyatta Kwamba Kenya ni nchi ya pili kuwa na waathirika wengi baada ya Rwanda. hao anaodhani sio wazuri ndio ambao wana idadi ndogo kabisa, na kasi ndogo ya maambukizi.
Hii tabia yenu ya kupenda kujisifu kwa kila kitu, ndio inayosababisha mnachekwa mnapopatwa na majanga badala ya kupewa Pole, sasa tuone Kama huko kupunguza mishahara na kodi mbalimbali kutusaidia kupunguza maambukizi ya Corona.
Sisi hatuja punguza mishahara wala kodi, wala kuzuia watu kufanya Kazi au kutembea mida ya usiku, tulichofanya ni kuunda vikosi Kazi mbalimbali vyenye wataalamu na wanasiasa na kuvisambaza nchi nzima ili kasimamia haya mapambano. Tutaona nchi gani itaonyesha mafanikio katika kupunguza maambukizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya sasa Kazi imeanza, UN imeorodhesha nchi zinaoongoza kwa police brutality during Covid-19 lockdown...
Kufungia watu ndani sio suluhu
Haya Marekani naona amechukua uamuzi wa Magufuli, go to work but abide closely with precautions
Kuna vinchi vingine tayari uchumi wao upo ICU, lazima viende na hii Corona View attachment 1399779
Natamani ingekuwa hapa aki! 😂Hii ng'ombe ilienda wapi?🤷🏾♂️🤷🏾♂️