Hii njia ya Kenya, Uganda, Rwanda na mataifa mengine hasa ya Africa kupambana na Corona inachekesha

Hii njia ya Kenya, Uganda, Rwanda na mataifa mengine hasa ya Africa kupambana na Corona inachekesha

1588110712765.png

we are slowly making progress in the right direction
 
Marekani ni nchi 50 zimeungana pamoja (states) kila state ina gavana wake na inajimwambafy kivyake. Kila state ina serikali yake, sheria zake, mahakama zake, bunge lake. Halafu kuna serikali, mahakama, bunge la states zote, kama shirikisho.

Rais Trump kasema atafanta quarantine New York watu wasitoke. Gavana wa New York Andrew cuomo kamwambia huwezi kufanya hivyo, kwanza ni kinyume cha sheria.

Trump mwenyewe kanywea.

Gavana wa Rhode Island kasema magari yenye plate numbers za New York yakishikwa yanapita state ya Rhode Island watu watakamatwa, Gavana wa New York kamwambia nitakushitaki ukiwakamata watu wa New York, kufanya hivyo ni kinyume na katiba.

Utaona nchi gavana anamkoromea rais, halafu rais ananywea mwenyewe.

Ndiyo maana nasema Marekani si kama nchi nyingine, idea ya uhuru na utawala wa sheria imetamalaki.

Tanzania Mkuu wa Mkoa anaweza kumkoromea Rais kwa sababu Rais kavunja sheria?
Na neno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa hivi wanamlaumu trump tena kwa vifo vingi vitokanavyo na covid19....... dems huwa siwaelewi kabisa!
 
sasa hivi wanamlaumu trump tena kwa vifo vingi vitokanavyo na covid19....... dems huwa siwaelewi kabisa!
Trump alipewa taarifa mapema ajiandae, akadharau.

Trump tangu alivyoingia madarakani watu wa utawala wa Obama walikuwa wanataka kukaa nao wafanye handover, wawape mipango, watu wa Trump hawakutaka kufuatilia.

Kuna ofisi ziliwekwa kufuatilia hizi habari za pandemics, Trump kazifuta.

Marekani imechelewa sana kuanza kupima, kwa sababu Trump alikataa vipimo vya WHO.

Trump anawaambia watu wajidunge maji ya sabuni na detergent ili kuua virusi, kitu ambacho ni hatari.

Trump ana lawama kubwa sana katika hili.

Hapo bado unaona hana lawama?
 
Mkumbushe huyo anayemsifia Kenyatta Kwamba Kenya ni nchi ya pili kuwa na waathirika wengi baada ya Rwanda. hao anaodhani sio wazuri ndio ambao wana idadi ndogo kabisa, na kasi ndogo ya maambukizi.

Hii tabia yenu ya kupenda kujisifu kwa kila kitu, ndio inayosababisha mnachekwa mnapopatwa na majanga badala ya kupewa Pole, sasa tuone Kama huko kupunguza mishahara na kodi mbalimbali kutusaidia kupunguza maambukizi ya Corona.

Sisi hatuja punguza mishahara wala kodi, wala kuzuia watu kufanya Kazi au kutembea mida ya usiku, tulichofanya ni kuunda vikosi Kazi mbalimbali vyenye wataalamu na wanasiasa na kuvisambaza nchi nzima ili kasimamia haya mapambano. Tutaona nchi gani itaonyesha mafanikio katika kupunguza maambukizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ng'ombe ilienda wapi?🤷🏾‍♂️🤷🏾‍♂️
 
Haya sasa Kazi imeanza, UN imeorodhesha nchi zinaoongoza kwa police brutality during Covid-19 lockdown...
 
Haya sasa Kazi imeanza, UN imeorodhesha nchi zinaoongoza kwa police brutality during Covid-19 lockdown...

Hivi nyie mnashangaza sana mpaka sasa mnaendelea kukusanyika kwenye misongamano ilhali mnaongoza rasmi EAC kwa idadi ya maambukizi na vifo, na video mnazotupia kwenye mitandao za maiti zikizikwa kisiri usiku ni wazi hiki kitu bado hakijawaingia akilini.......
Sasa hivi tunaona habari za tanzia tu kwenye lile jukwaa lenu la siasa, mara mbunge, mara DC yaani poleni sana.

Poleni naona hata RC wa Kilimanjaro kagawawia kirusi RC Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira atangaza kuambukizwa Virusi vya Corona - COVID-19 - JamiiForums
 
Back
Top Bottom