Hii njia ya Kenya, Uganda, Rwanda na mataifa mengine hasa ya Africa kupambana na Corona inachekesha

nyie endeleeni kukurupuka! pelekani maji Kibera! kuna kitu kinaitwa thresholds for any pandemic! imagine mmepeleka internet badala ya maji na chakula! #Akilizahandshake#
 
Trump anatetea muhula wa pili. Anaogopa uchumi ukiyumba propaganda ameimarisha uchumi wa marekani zitakuwa haziaminiki tena. Uchaguzi muhimu kuliko afya za wamarekani.
Naona anaonekana kuchemka kwa hili.
Inaonekana uchumi unaweza kuanguka kwa kiasi kikubwa haijawahi tokea katika historia ya marekani

God save us
 
Marekani walifanya lock down nchi nzima lakini maambukizi yameomhezeka zaidi ndani ya wiki moja tu.

Hapa unadhani tunajifunza nini?

God save us
 
Mpaka sasa naweza kusema he is smartest President kwa hili janga.

Hebu fikiria USA wamesitisha shughuli zote lakini maambukizi yamepanda maradufu. Kwa hili tu watanzania ilitakiwa tumpongeze raisi wetu kwa kuona mbali.

Koloni letu lemefunga baadhi ya biashara kwa sababu tunawahudumia hivyo hawana hasara watapata zaidi ya watu wa chini kuumia.

God save us
 
Serikali yenu inawapa elfu ngapi ?

Halafu kuzoea zoea watu mwishoe mtazoea majini
 
Kufunga mipaka inasaidia kutoambukiza nchi jirani zako na pia kujua hotbed areas ndio you deal with it thoroughly.
US tayari washajua places of concern after lockdown.
But ukiacha wananchi wasafirisafiri kama Italy,utagundua ikiwa too late imesamba Kila Kona.
 
Ata ingawa US walichelewa kufunga nchi developed countries watu wanatravel sana.
Japan, south korea na China wamecontrol hii kitu juu ya lockdown
 
nyie endeleeni kukurupuka! pelekani maji Kibera! kuna kitu kinaitwa thresholds for any pandemic! imagine mmepeleka internet badala ya maji na chakula! #Akilizahandshake#
Sasa kwa akili zako mna afueni zaidi ya Kenya? Sio kwa huo ushamba wenu wakuwakamata watz ambao wamepiga picha barabara mbovu na 'expansion joints'. [emoji1]
 
Sasa kwa akili zako mna afueni zaidi ya Kenya? Sio kwa huo ushamba wenu wakuwakamata watz ambao wamepiga picha barabara mbovu na 'expansion joint'. [emoji1]
Kama one tablet per child ime-fail all this time hii maneno ya Internet itasaidia vp? Watu wa Kibera wataenda Internet c@fe ku-access internet ama? #Akilizahandshake#
 
Kama one tablet per child ime-fail all this time hii maneno ya Internet itasaidia vp? Watu wa Kibera wataenda Internet c@fe ku-access internet ama? #Akilizahandshake#
Badala ya kukesha kwenye mitandao ukifatilia habari za Kenya na kuelekeza hizi hasira zako kwa serikali ya Kenya, kama mkenya. Ungejikita kwenye kumkashifu aliyewaletea aibu ambaye ni Jiwe, sio rais UK. Nimeona kule twitter wanamuita JPM 'the new Kinjeketile Ngwale'. [emoji1] Baada ya ile kauli yake kwamba virusi vya Corona haviwezi vikanawiri kwenye 'mwili wa yesu' na kwenye nyumba za ibada. [emoji23]
 
Kati ya 31 na death 1, na 13 with no death, Nani mwenye kutia aibu?. Failed state.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…