Hii number ya nchi gani wakuu?

Hii number ya nchi gani wakuu?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Kwema wakubwa?
Nilikua msalani nimetoka niikacheck simu yangu nikakuta hii number imenipigia, +27118818914.itakua ni number ya nchi gani hii wazee maana binafsi sina hata ndugu wala rafiki aliyeko nje ya nchi?
 
Back
Top Bottom