Hii nyimbo ya zamani inayoitwa "Supastaa wa Bongo" nitaipataje?

AlphaMale

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2019
Posts
613
Reaction score
1,416
Iliimbwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 kwenye TV, ilikua inaimbwa hivi, "Superstar superstar, superstar wa bongo, superstar superstar kuwa na usongo".
 
Ngoma nishaikumbuka shooting yake kuna mshkaji ana nywele nyingi hivi. Anyway hard drive yangu ilicorrupt ilikua na ngoma za kitambo kibao
 
Iliimbwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 kwenye TV, ilikua inaimbwa hivi, "Superstar superstar, superstar wa bongo, superstar superstar kuwa na usongo".
huyu jamaa alikua presenter channel 5πŸ–πŸ–πŸ– alikujaga na movie yake inaitwa going bongo kama sijakosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…