stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
Ni nyumba yenye vyumba 3 vya kulala
Hapo ni material na ufundi
Kama unataka tukujengee
Utuchek 0743 257 669
Raman
Mahesabu
Ujenzi
Tuchek
Ofisi zetu zipo banana ukonga
wa.me//255743257669
Kwa hiyo mil 40 anahamia kabisaView attachment 3338714View attachment 3338715
Ni nyumba yenye vyumba 3 vya kulala
Hapo ni material na ufundi
Kama unataka tukujengee
Utuchek 0743 257 669
Raman
Mahesabu
Ujenzi
Tuchek
Ofisi zetu zipo banana ukonga
wa.me//255743257669
Hivi huu ni lazima ata kwa nyumba zetu za kitaaaKwanini hukufunga ground beam/mkanda wa kwenye msingi?
Nilitaka kuuliza hili swaliKwanini hukufunga ground beam/mkanda wa kwenye msingi?
Ni muhumi kuifanya nyumba kuwa imara na kuepusha nyufaHivi huu ni lazima ata kwa nyumba zetu za kitaaa
Ata nikinfyatua tofali 25 kwa mfuko?Ni muhumi kuifanya nyumba kuwa imara na kuepusha nyufa
Kwanini hukufunga ground beam/mkanda wa kwenye msingi?
Mkanda wa msingi ni muhumi mkuu kukwepa gharama kutofanya baadae kuta zikate nyufa mpo ndani utajilaumu otherwise eneo lako labda haliathiriwi sana na tetemeko la ardhi but kuweka nyumba imara ni nzuriAta nikinfyatua tofali 25 kwa mfuko?
Kabisa anahamiaKwa hiyo mil 40 anahamia kabisa
Basi mil 20 one bedroom house nahamiaKabisa anahamia
Hivi huu ni lazima ata kwa nyumba zetu za kitaa
Mkanda wa msingi unasaidia pia kuzuia nyufa zinazotoka kwenye Msingi zisikate mpaka juu.Ata nikinfyatua tofali 25 kwa mfuko?
Mapema tuBasi mil 20 one bedroom house nahamia
Vyumba vina ukubwa gani? 3 x 3m?Mkanda wa chini upo nazan umeona vibaya haya kuna lingine?
Ngoja nitengeneze gheto nimkalibishe Lamomy aje alizindueMapema tu
Wapi huko kuna gharama kubwa za ujenzi namna hiyo? Hiyo 13M imetumika kwenye nini hasa?View attachment 3338714View attachment 3338715
Ni nyumba yenye vyumba 3 vya kulala
Hapo ni material na ufundi
Kama unataka tukujengee
Utuchek 0743 257 669
Raman
Mahesabu
Ujenzi
Tuchek
Ofisi zetu zipo banana ukonga
wa.me//255743257669