Hii nyumba hadi saizi hapo imejengwa imekula mil 17

Hivi huu ni lazima ata kwa nyumba zetu za kitaa

Ata nikinfyatua tofali 25 kwa mfuko?
Mkanda wa msingi unasaidia pia kuzuia nyufa zinazotoka kwenye Msingi zisikate mpaka juu.

Otherwise zikitokea nyufa namna ya kuzitibu inakuwa ngumu .na pia kasi ya ungezekaji wa width ya ufa ni kubwa as time goes on in case nyufa zimeanza.

Dunia inakabiliwa na movement nyingi sana chini ambazo nyingi hatuzishuhudii (Earth undergoes more than 10,000 ground movement per year). Kwa hiyo msingi usipokuwa imara.nyufa haziepukiki kadri miaka inavyosonga.hivyo ni muhimu kufunga mkanda.

Kwenye ghorofa kadhaa hufungwa hata miwili kabisa (Wa chini usawa wa base) na wa juu usawa wa ardhi
 
Site ipo wapi?

Mkoa cement Nyati ni 22K halafu tofali linauzwa 1000! DSM tofali mnauziwaje na cement bei gani?

Mkoa nyumba zenye mkanda kwenye msingi ni za washua hasa,nyingi ni usawa wa madirisha unafunga na baada ya dirisha unapiga mkanda wa pili.

Na hakuna kusuka nondo,inalazwa moja tu tena 10mm or 8mm.

Maisha yanaenda hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…