Hii nyumba ilijengwa mwaka 1509 katika kijiji cha Argentan, Ufaransa

Kama wakina socrate na plato na wasomi wengi wakale waulaya walikuja kijfunza afrika
na wazungu wakili kwanin isiwezekane kuwa nao sawa kimaendeleo.
Afrika imepotea baada ya kuvamiwa na alexander the great na warumi wakaja kuizika kabisa.

THEY SUPPRESSED US INCLUDING OUR IDEAS!
 
Waliokupa historia ya hao akina alexander ndio haohao unaowaita wavamizi kifupi sisi historia yetu tumeandkiwa au kukopi ya wazungu nakuibadili
Hebu tuanze na taifa letu tanzania kabla ya vinavyo itwa vita ya majimaji hisyoria yetu huko ilikuwaje? Fikiria ya wemzetu ilikuwaje watu wamesha gundua compass wamesafiri bara hadi bara sisi tuna chamba kwa magunzi na majani ya miti. Kuuwa albino na kutupa wenye ulemavu. Huku tukisindika nyama kwa kuzikausha kwa moshi kwenye vijumba vya duara.
 
Mwanadamu amekuwepo zaidi ya miaka millioni mbili kama historia yako inaanzia baada ya kristo sinatatizo na hilo.
Hao kina plato wameendika wenyewe wala sio historia unless kama walidanganya.
Huyo mzungu huwezi kuta historia yake ukienda mbali zaidi.
 
Ya kwetu ilikuwaje hasa nimezungumzia ya hapa tanganyika kabla hata ya hiyo vita ya maji maji
 
Kabla ya kristo au baada ya kristo?
 
Hatuna historia yetu kwa sababu hii tuliyonayo niyakubumba.
Hisroria yetu imevurugwa na ujio wa athens na warumi
Sasa point yangu inabaki palepele kuwa hatuwezi kamwe kujikinganisha na hao watu na kufikia hitimisho kuwa eti miaka kadhaa tulikuwa almost the same. Hell noo kwa sababu huwezi kuwa the same na mtu afu akuzidi ujanja
 
Sasa point yangu inabaki palepele kuwa hatuwezi kamwe kujikinganisha na hao watu na kufikia hitimisho kuwa eti miaka kadhaa tulikuwa almost the same. Hell noo kwa sababu huwezi kuwa the same na mtu afu akuzidi ujanja
Ujanja upi?
Before ukoloni hakukuwa na tanganyika hamna historia ya tanganyika,
Kufkia hapo walipo ulaya ni movement za mda mrefu sana wala sio ujanja na hustle za mda
kwasabab wao ndio walikuwa na changamoto lukuki kuliko sisi, ndio maana sisi kuna wakati tu-relax.
Mafanikio ya ulaya sio mafanikio ya mtu mmoja mmoja no collective
lakini ukienda kwa mtu mmoja mmoja bado kuna waaafrika wamefanya makubwa kuliko
wazungu na kuna watu wanamaaisha mazuri kuliko wazungu uwe specific kujiringanisha kwa kipi?
watu walioifanyia ulaya makubwa wanahesabika.
Ukifanya generalization inaonnekana kuna gap kubwa lakin naona sio kweli.
Na katika hili sidhan kama niko biased au egoism ila ni according to sources zang.
 
Nakubaliana na wewe kiasi fulani ila si sawa kusema eti tulikaribiana nao kimaendeleo au kiustaarabu. Tulikuwa wapi mpaka waje kuvamia na kuvunja dola zilizokuwa imara na zenye maendeleo unayoyasema?
Tylikaribiana kweli, tatizo Africa kipindi kile haikuwa na umoja watu waliishi kwa makundi na dola ndogondogo. Kukosekana umoja ndiyo jamaa walitumia advantage hiyo
 
Elfu moja mia tano tunaishi kwenye mashimo ,Mapango ,vijumba vya udongo


Wenzetu tayari wana ghorofa


Hivi wa Afrika tulikosea wap

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Weee kunguru wa manzese! hivi hujui Misri ilijengwa na sisi weusi? yale mapyramid ya karne miatatu unadhani nani alijenga?

Waarabu wale ni sawa na wapemba! hawatupendi kiviile! japo tuna muunganiko wa wazi sana! kwa maana kuwa tumechanganya Damu! arabs ni machotara wale!! japo hawatupendi kuna damu yenu pale ukienda vizuri lkn hawakutaki!!!

sababu udongo na chuma kamwe havikamatani.......nani alitabiri haya km unajua!!!

basi ndo hawa jamaa sisi chuma wao udongo!!
 
Wee! jamaa safi sana na hatare sana ni km ulinisoma mahali fulani sijui Quora au wapi, lkn ni uko mulemule!! make najiona ni mimi mtupu hapa!
 
Sasa mzungu alifanyaje tukashindwa kujenga vyoo tena au Mpoto na kampeni ya nyumba ni choo wanakosea Mkuu?

Kuna visehemu vidogo vidogo vya Afrika vilikuwa na maendeleo kweli ila sio kweli eti waafrika tulikuwa sawa na mabara mengine.

Huko ni kujifariji tu, Mwafrika mvaa kigozi alikuwaje sawa na Mwarabu mvaa kanzu?
 
Nakubaliana na wewe kiasi fulani ila si sawa kusema eti tulikaribiana nao kimaendeleo au kiustaarabu. Tulikuwa wapi mpaka waje kuvamia na kuvunja dola zilizokuwa imara na zenye maendeleo unayoyasema?
Dogo sasa hapo ndo maana ya Historia ! haswaaa!! leo uko juu kesho uko chini! kamwe huwezi kuwa juu tuuu miaka na karne zote ! ni km ilivokuwa UK, ujermani ya leo! Urusi, hizi zilikuwa super power lkn sasa km unavouliza zilishukaje??

Labda nikusaidie hivi Idd Amini alikuwa na siraha kali na nzito kuliko Tanzania! jiulize kwanini tulimshinda mpaka akakimbia nchini mwake yaani, fikiria tu mpaka leo hajazikwa Uganda!! .....anaogopa, nina mifano mingi tu!! km majamaji war tulishinda wababe wale!

ni ivi ukifika madarasa ya mbele huko hasa historia drs la saba! utajua ni kwa nini...... na walikuwa wapi wkt walikuwa na maendeleo ivo.....hapa dogo tuachie sisi baba zako tujadili......
 
Baba yetu alimcheka babu Nuhu alivyolewa gambe
Hapa!! hapa!!! nisikie vizuri unielewe, kamwe usiache hii sentensi utanikumbuka kuwa hapa ''ndo mmekamatwa nyaa! na hawa Nefilims mpaka hamfurukuti''!! utakuja kujua ukweli umechelewa sana, hata mie nilikuwa ivi!! ivi km wewe!!
 
Ni kweli tulikua na maendeleo sawa na mabara mengine. Afrika ndiyo tulianza kuwa na ujuzi wa kufua vyuma. Vyuma ndiyo vilileta mabadiliko kufikia zama za kilimo.

Tofauti ilianza karne ya 14 wakati Ulaya dola yenye nguvu ilikuwa Ottomans. Hawa ndiyo waliimarisha biashara ya utumwa. Wakati wa dola ya Roma watumwa walikua na baadhi ya haki na baada ya muda waligaiwa sehemu za mali ya bwana na kuanza maisha yao mapya. Ottomans walibadili utumwa kuwa bidhaa inayoleta faida. Ilikua ni rahisi kwao kupata watumwa kutoka Afrika Mashariki na kuwauza kwa faida kubwa.

Utumwa ndiyo ulirudisha maendeleo ya Afrika nyuma. Wanaume waliokua na ujuzi wa aina mbali mbali waliuzwa utumwani. Maisha yalikua ni ya wasiwasi na vita vya wenyewe kwa wenyewe viliibuka wakati wowote, waliosdhindwa vita waliuzwa utumwani.

Kukosa stability kulifanya watu washindwe kulima, njia pekee ya kupata kipato ilikuwa kuuzana utumwani.
 
Wenzetu majengo,vitu vya kale wanatunza sidi tunavunja eti tunapandisha magorofa

Ova
 
Kwq hiyo unakubali kuwa Africa kabla mzungu,mwarabu etc hawajaja tulikuwa tunajiweza?

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…