Kwa standards za wakati huo tulijiweza, ukienda Timbuktu University kuna vitabu vya karne ya 14 vya utaalamu wa Afrika.Kwq hiyo unakubali kuwa Africa kabla mzungu,mwarabu etc hawajaja tulikuwa tunajiweza?
Ova
Apo huwa ndiyo najiuliza kwahyo wazungu nao walikuwa wanajisaidia maporini😂😂Kifupi kwa wasio elewa. Nyumba hiyo ina miaka 512 mpaka sasa
Ukisoma afrocentric wanadai eti miaka fulani afrika ilikuwa almost the same na huko europe kimaeneleo ilhali ukimulika kiundani watu walikuwa hawana hata vyoo vya kujisaidia.
Mohamed Said
Uko sahihi. Huku Kusini mwa Sahara ni sifuri kabisa.Wazungu sio wenzetu... Wa Africa wa kule Kaskazini ndio kidogo wana akili ila huku Kusini mwa Sahara hakuna kitu
Bado ipo mpaka leo?.
Kama kawa tena toilet paper zao ilikuwa majani.Apo huwa ndiyo najiuliza kwahyo wazungu nao walikuwa wanajisaidia maporini[emoji23][emoji23]
Kilwa ilikua na sarafu yake ya dhahabu,mji ulopangiliwa vizuri,majengo mazuri,mreno alipofika baharini akauchora Kisha akauchoma,huwezi tengeneza sarafu na kuwa na mpango mji Kama huna maarifaWaliokupa historia ya hao akina alexander ndio haohao unaowaita wavamizi kifupi sisi historia yetu tumeandkiwa au kukopi ya wazungu nakuibadili
Hebu tuanze na taifa letu tanzania kabla ya vinavyo itwa vita ya majimaji hisyoria yetu huko ilikuwaje? Fikiria ya wemzetu ilikuwaje watu wamesha gundua compass wamesafiri bara hadi bara sisi tuna chamba kwa magunzi na majani ya miti. Kuuwa albino na kutupa wenye ulemavu. Huku tukisindika nyama kwa kuzikausha kwa moshi kwenye vijumba vya duara.
🤣🤣🤣🤣Wazungu sio wenzetu... Wa Africa wa kule Kaskazini ndio kidogo wana akili ila huku Kusini mwa Sahara hakuna kitu