Perfectly...Yaani umepiga mule mule ..Sasa hawa jamaa wanatukuambia eti nyumba ni mil 15 mpaka finishing ,.:
---
🏗️ JUMLA YA GHARAMA ZA KUPAUA NYUMBA
1. Mbao za 2×4
- 170 × 5,000 = 850,000 TZS
- 70 × 5,000 = 350,000 TZS
- Jumla: 240 vipande = 1,200,000 TZS
2. Mbao za 2×2
- 120 × 3,000 = 360,000 TZS
3. Mbao za Fishabodi
- 20 × 16,000 = 320,000 TZS
4. Mbao za 1×8
- 20 × 12,000 = 240,000 TZS
5. Misumari ya Nchi Nne
- 50kg × 5,000 = 250,000 TZS
6. Misumari ya Nchi Mbili
- 2kg × 5,000 = 10,000 TZS
7. Kenchi Waya Lola
- 7 × 2,000 = 14,000 TZS
8. Rangi Nyeupe
- 1 × 30,000 = 30,000 TZS
9. Mbao za Blandering
- 150 × 3,000 = 450,000 TZS
10. Misumari ya Blandering
- 45 × 5,000 = 225,000 TZS
11. Bati
- 140 × 23,000 = 3,220,000 TZS
12. Kofia
- 30 × 12,000 = 360,000 TZS
13. Valley
- 20 × 12,000 = 240,000 TZS
14. Misumari ya Bati
- 25kg × 12,000 = 300,000 TZS
15. Ufundi wa Blandering
- 500,000 TZS
16. Ufundi wa Kupaua
- 2,000,000 TZS
---
💰 JUMLA KUU:
9,719,000 TZS
---
Hapa bati haupati labda uhongwe na wanaume.apo imezid sana ni
10m
Hatubishi tunauliza tu bwasheemimi hesabu nakupa ukibisha ni wewe hapa naongea nipo site tunajenga fens
ngazi ya kisasa na gebo
Hiyo 11 unepigwa hakuna bati la 23000/= punde si punde huko juu kutakuwa na maajabu:
---
🏗️ JUMLA YA GHARAMA ZA KUPAUA NYUMBA
1. Mbao za 2×4
- 170 × 5,000 = 850,000 TZS
- 70 × 5,000 = 350,000 TZS
- Jumla: 240 vipande = 1,200,000 TZS
2. Mbao za 2×2
- 120 × 3,000 = 360,000 TZS
3. Mbao za Fishabodi
- 20 × 16,000 = 320,000 TZS
4. Mbao za 1×8
- 20 × 12,000 = 240,000 TZS
5. Misumari ya Nchi Nne
- 50kg × 5,000 = 250,000 TZS
6. Misumari ya Nchi Mbili
- 2kg × 5,000 = 10,000 TZS
7. Kenchi Waya Lola
- 7 × 2,000 = 14,000 TZS
8. Rangi Nyeupe
- 1 × 30,000 = 30,000 TZS
9. Mbao za Blandering
- 150 × 3,000 = 450,000 TZS
10. Misumari ya Blandering
- 45 × 5,000 = 225,000 TZS
11. Bati
- 140 × 23,000 = 3,220,000 TZS
12. Kofia
- 30 × 12,000 = 360,000 TZS
13. Valley
- 20 × 12,000 = 240,000 TZS
14. Misumari ya Bati
- 25kg × 12,000 = 300,000 TZS
15. Ufundi wa Blandering
- 500,000 TZS
16. Ufundi wa Kupaua
- 2,000,000 TZS
---
💰 JUMLA KUU:
9,719,000 TZS
---
Kweli mnajua kubana matumizi
zipo hadi za 37,000 ila mfuko wako hapo ndio boss wang alifikaHiyo 11 unepigwa hakuna bati la 23000/= punde si punde huko juu kutakuwa na maajabu
Uko sahahi ,kuanzia mwaka jana kama sijakosea mwezi wa 8 vifaa na gharama zilipanda sana
zipo hadi za 37,000 ila mfuko wako hapo ndio boss wang alifikaHiyo 11 unepigwa hakuna bati la 23000/= punde si punde huko juu kutakuwa na maajabu
Jengo ni contemporary?
Utapeli mtupu
Utapeli mtupu
njoo dodoma nzuguni uje site uoneUtapeli mtupu
Kwa hiyo hiyo nyumba hadi iishe hapo si itakuwa 50m?njoo dodoma nzuguni uje site uone
kwanza umeniita tapeli sion haja kuendelea nawwKwa hiyo hiyo nyumba hadi iishe hapo si itakuwa 50m?
Sasa ulivyo kiazi mbona mwanzoni nilikuita tapeli halafu ukajibu?kwanza umeniita tapeli sion haja kuendelea naww