Hii Nyumba nimeijenga Dodoma nzuguni Juni 2025, fatilia ujue gharama tulizotumia

Hii Nyumba nimeijenga Dodoma nzuguni Juni 2025, fatilia ujue gharama tulizotumia

:


---


🏗️ JUMLA YA GHARAMA ZA KUPAUA NYUMBA


1. Mbao za 2×4



- 170 × 5,000 = 850,000 TZS
- 70 × 5,000 = 350,000 TZS
- Jumla: 240 vipande = 1,200,000 TZS


2. Mbao za 2×2



- 120 × 3,000 = 360,000 TZS


3. Mbao za Fishabodi



- 20 × 16,000 = 320,000 TZS


4. Mbao za 1×8



- 20 × 12,000 = 240,000 TZS


5. Misumari ya Nchi Nne



- 50kg × 5,000 = 250,000 TZS


6. Misumari ya Nchi Mbili



- 2kg × 5,000 = 10,000 TZS


7. Kenchi Waya Lola



- 7 × 2,000 = 14,000 TZS


8. Rangi Nyeupe



- 1 × 30,000 = 30,000 TZS


9. Mbao za Blandering



- 150 × 3,000 = 450,000 TZS


10. Misumari ya Blandering



- 45 × 5,000 = 225,000 TZS


11. Bati



- 140 × 23,000 = 3,220,000 TZS


12. Kofia



- 30 × 12,000 = 360,000 TZS


13. Valley



- 20 × 12,000 = 240,000 TZS


14. Misumari ya Bati



- 25kg × 12,000 = 300,000 TZS


15. Ufundi wa Blandering



- 500,000 TZS


16. Ufundi wa Kupaua



- 2,000,000 TZS


---


💰 JUMLA KUU:
9,719,000 TZS



---
Mkuu mbona sijaona gharama za matofali, cement, mawe nk
 
:


---


🏗️ JUMLA YA GHARAMA ZA KUPAUA NYUMBA


1. Mbao za 2×4



- 170 × 5,000 = 850,000 TZS
- 70 × 5,000 = 350,000 TZS
- Jumla: 240 vipande = 1,200,000 TZS


2. Mbao za 2×2



- 120 × 3,000 = 360,000 TZS


3. Mbao za Fishabodi



- 20 × 16,000 = 320,000 TZS


4. Mbao za 1×8



- 20 × 12,000 = 240,000 TZS


5. Misumari ya Nchi Nne



- 50kg × 5,000 = 250,000 TZS


6. Misumari ya Nchi Mbili



- 2kg × 5,000 = 10,000 TZS


7. Kenchi Waya Lola



- 7 × 2,000 = 14,000 TZS


8. Rangi Nyeupe



- 1 × 30,000 = 30,000 TZS


9. Mbao za Blandering



- 150 × 3,000 = 450,000 TZS


10. Misumari ya Blandering



- 45 × 5,000 = 225,000 TZS


11. Bati



- 140 × 23,000 = 3,220,000 TZS


12. Kofia



- 30 × 12,000 = 360,000 TZS


13. Valley



- 20 × 12,000 = 240,000 TZS


14. Misumari ya Bati



- 25kg × 12,000 = 300,000 TZS


15. Ufundi wa Blandering



- 500,000 TZS


16. Ufundi wa Kupaua



- 2,000,000 TZS


---


💰 JUMLA KUU:
9,719,000 TZS



---
Hapo misumari umezidisha bei na misumari ni mingi sana, how come kilo ya misumari ununue 5000 wakati inauzwa 3500, na labour charge yako ni expensive mnooo
 
nyumba ina vyumba 3 vya kulala
chumba kimoja master
vyumba 2 vya kawaida
seble
dinning
jiko
store
public toilet
nyumba ina mita 11 kwa 9.5
ukitaka tukujengee nichek 0743257669

Kwa ukubwa wa hizo square meter sio kwamba umefinya sana vyumba vya kulala?
Maana vyumba vitatu na kimoja ni master si mchezo...
 
:


---


🏗️ JUMLA YA GHARAMA ZA KUPAUA NYUMBA


1. Mbao za 2×4



- 170 × 5,000 = 850,000 TZS
- 70 × 5,000 = 350,000 TZS
- Jumla: 240 vipande = 1,200,000 TZS


2. Mbao za 2×2



- 120 × 3,000 = 360,000 TZS


3. Mbao za Fishabodi



- 20 × 16,000 = 320,000 TZS


4. Mbao za 1×8



- 20 × 12,000 = 240,000 TZS


5. Misumari ya Nchi Nne



- 50kg × 5,000 = 250,000 TZS


6. Misumari ya Nchi Mbili



- 2kg × 5,000 = 10,000 TZS


7. Kenchi Waya Lola



- 7 × 2,000 = 14,000 TZS


8. Rangi Nyeupe



- 1 × 30,000 = 30,000 TZS


9. Mbao za Blandering



- 150 × 3,000 = 450,000 TZS


10. Misumari ya Blandering



- 45 × 5,000 = 225,000 TZS


11. Bati



- 140 × 23,000 = 3,220,000 TZS


12. Kofia



- 30 × 12,000 = 360,000 TZS


13. Valley



- 20 × 12,000 = 240,000 TZS


14. Misumari ya Bati



- 25kg × 12,000 = 300,000 TZS


15. Ufundi wa Blandering



- 500,000 TZS


16. Ufundi wa Kupaua



- 2,000,000 TZS


---


💰 JUMLA KUU:
9,719,000 TZS



---
Mbona hakuna gharama za hizo grills?! Jamvi?!!
 
:


---


🏗️ JUMLA YA GHARAMA ZA KUPAUA NYUMBA


1. Mbao za 2×4



- 170 × 5,000 = 850,000 TZS
- 70 × 5,000 = 350,000 TZS
- Jumla: 240 vipande = 1,200,000 TZS


2. Mbao za 2×2



- 120 × 3,000 = 360,000 TZS


3. Mbao za Fishabodi



- 20 × 16,000 = 320,000 TZS


4. Mbao za 1×8



- 20 × 12,000 = 240,000 TZS


5. Misumari ya Nchi Nne



- 50kg × 5,000 = 250,000 TZS


6. Misumari ya Nchi Mbili



- 2kg × 5,000 = 10,000 TZS


7. Kenchi Waya Lola



- 7 × 2,000 = 14,000 TZS


8. Rangi Nyeupe



- 1 × 30,000 = 30,000 TZS


9. Mbao za Blandering


- 150 × 3,000 = 450,000 TZS


10. Misumari ya Blandering



- 45 × 5,000 = 225,000 TZS


11. Bati



- 140 × 23,000 = 3,220,000 TZS


12. Kofia



- 30 × 12,000 = 360,000 TZS


13. Valley



- 20 × 12,000 = 240,000 TZS


14. Misumari ya Bati



- 25kg × 12,000 = 300,000 TZS


15. Ufundi wa Blandering



- 500,000 TZS


16. Ufundi wa Kupaua



- 2,000,000 TZS


---


💰 JUMLA KUU:
9,719,000 TZS



---
Acha ujinga boss dodoma bei ya material sio kubwa kama sehemu nyingine!
Misumari umeandika elfu 5..bei halisi ni elfu 4 kwa kg 1
Mbao za 2*2 ni 2500 wewe umeandika elfu 3
Kofia za bati zinauzwa elfu 10 wewe umeandika elfu 12
Kench waya ni elfu 1 wewe umeandika elfu 2

Sijajua maana yako ya kuongeza bei lakini jifunze kuleta vitu halisi
..hizo elfu moja moja unazoziongeza zikiwa nyingi ni pesa nyingi mno.....nathubutu kusema wewe sio fundi ni dalali wa ujenzi!
 
Sasa weka na dirisha la emergency sku moto ukiwaka watu wasije chomeka km
Mishikaki.
Maana kwa madirisha hayo ata kichwa cha mtoto akipiti.

Afu paa kwanini ukuweka degree20-30 sasa iyo degree 50 ndo imekula pesa zaidi ya ujenzi wa nyumb yenyewe
 
:


---


🏗️ JUMLA YA GHARAMA ZA KUPAUA NYUMBA


1. Mbao za 2×4



- 170 × 5,000 = 850,000 TZS
- 70 × 5,000 = 350,000 TZS
- Jumla: 240 vipande = 1,200,000 TZS


2. Mbao za 2×2



- 120 × 3,000 = 360,000 TZS


3. Mbao za Fishabodi



- 20 × 16,000 = 320,000 TZS


4. Mbao za 1×8



- 20 × 12,000 = 240,000 TZS


5. Misumari ya Nchi Nne



- 50kg × 5,000 = 250,000 TZS


6. Misumari ya Nchi Mbili



- 2kg × 5,000 = 10,000 TZS


7. Kenchi Waya Lola



- 7 × 2,000 = 14,000 TZS


8. Rangi Nyeupe



- 1 × 30,000 = 30,000 TZS


9. Mbao za Blandering



- 150 × 3,000 = 450,000 TZS


10. Misumari ya Blandering



- 45 × 5,000 = 225,000 TZS


11. Bati



- 140 × 23,000 = 3,220,000 TZS


12. Kofia



- 30 × 12,000 = 360,000 TZS


13. Valley



- 20 × 12,000 = 240,000 TZS


14. Misumari ya Bati



- 25kg × 12,000 = 300,000 TZS


15. Ufundi wa Blandering



- 500,000 TZS


16. Ufundi wa Kupaua



- 2,000,000 TZS


---


💰 JUMLA KUU:
9,719,000 TZS



---
Kwenye ufundi ni kama mmepga pakubwa
 
Mpaka hapa sijaona mjenzi ata mmoja

Ujenzi siyo mavuzi kila mtu anayo

Nyumba ya vyumba vitatu mpaka unaingia ndani lazima uwe na kama 70M
Absolutely,Mi mpaka nikaanza kuwaza ya kwangu nilipigwa au vipi.Nimewaza kinyanyua nyumba nyingine chap kwa hesabu hizo ningekua nazo Tatu.
 
Ninacho kimoja kipo sehemu nzuri sana ila ni kidogo. 385sqm, njoo nikutupie
Hichi kinafaa kwa kuweka gheto la kushenyenta mbususu.
Hapa engineer anipe ramani ya 1 bedroom na kujenga story imeisha ni kupakazana hiv na watoto wa udom
 
Back
Top Bottom