Hii Nyumba nimeijenga Dodoma nzuguni Juni 2025, fatilia ujue gharama tulizotumia

Asante mkuu kwa elimu. Tunaendelea kupata elimu. Pia eneo husika linaathiri gharama za ujenzi. Mfano mwanza saruji mfuko ni elfu 23, na kiwanja kama kipo mlimani au la. Pia nauliza bati la elfu 23 ni geji ngapi?
 
nyumba ina vyumba 3 vya kulala
chumba kimoja master
vyumba 2 vya kawaida
seble
dinning
jiko
store
public toilet
nyumba ina mita 11 kwa 9.5
ukitaka tukujengee nichek 0743257669
Ila dodoma mnatabia za kuigana hii nyumba inafanana na ya brother mmoja hapo Dom yaani copyright isipokuwa rangi ya bati
 
Umepaua bati ya mwaka ishapaukaa

Hii nyumba ukipaua chenga chenga G28 walau tunasema ni bati standard hapo 15M inaishia kwenye paaa tu.
 
Ila dodoma mnatabia za kuigana hii nyumba inafanana na ya brother mmoja hapo Dom yaani copyright isipokuwa rangi ya bati
Wanafanya vizuri sana kwa kweli sio kama kwetu huku ,nyumba ni mpya ila kila mtu na bati rangi yake ..Ile saa saba ukishuka bondeni hizi ukiangalia mpaka macho yanauma .

NI bora mtaa mmoja bati ziwe za rangi moja.
 
Una uhakika mahesabu yako ya bati yapo sahihi mkuu? Ni kweli umetumia bati 140 hapo?
 
Perfectly...Yaani umepiga mule mule ..Sasa hawa jamaa wanatukuambia eti nyumba ni mil 15 mpaka finishing ,.
Mkuu nadhani kuna mahali hujaelewa! Hesabu unayoiona hapo ni ya kuezeka tu! Siyo ya boma mkuu! Ukitaka jumla kuu jumlisha gharama za kujenga boma na hiyo ya kuezeka bati!
 
Nimekubali Engineer, upo vizuri kazi imenyooka haina Kipengele
 
nyumba ina vyumba 3 vya kulala
chumba kimoja master
vyumba 2 vya kawaida
seble
dinning
jiko
store
public toilet
nyumba ina mita 11 kwa 9.5
ukitaka tukujengee nichek 0743257669
Nzuguni B, Chuo au Nzuguni ipi/wapi? Alafu kama naijua na bado haijazungushiwa fence vile
 
gar mjn had nzuguni kwa masista 700
boda hadi kwako 1500 au 2000
umbali cjui ila nusu saa hadi saa 1 unafika town
Lisaa labda kuwe na foleni, nimekaa sana maeneo ya mbuyuni sana huwa ni dk 20, foleni huwa tunaikwepea pale martin Luther, unatokea swaswa, royal village unaingilia pizeria, area c unatokea airport mjini tayari.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…