Hii Nyumba nimeijenga Dodoma nzuguni Juni 2025, fatilia ujue gharama tulizotumia

Bati 140??? zimetumikaje hapo??
 
nyumba ina vyumba 3 vya kulala
chumba kimoja master
vyumba 2 vya kawaida
seble
dinning
jiko
store
public toilet
nyumba ina mita 11 kwa 9.5
ukitaka tukujengee nichek 0743257669

Hilo linaitwa pagale,kuanzia hapo na kuendelea ndio ujenzi wenyewe unaanza,na kila unachoongeza hata jina lake linakuwa la kizungu,floor,blandering,gypsum,wiring,tiles,aluminium,plaster,skimming n.k.....
 
Hio ndio habari njema ya uchumi wa udongo
 
Sijaona mchanga, saruji, kokoto nk
 
B
Bati kama Nyingi sana Mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…