Hii picha ilipigwa kabla ya WWI Arkansas na mwaka 2022 kuna wao ramani kuwa na nyumba kama hii

Hii picha ilipigwa kabla ya WWI Arkansas na mwaka 2022 kuna wao ramani kuwa na nyumba kama hii

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1656566185521.png
Miaka hiyo umeme ulikuwa ni kwa wachache wenye uwezo na maji kulikuwa na visima vya mdundiko katikati ya miji.

Wakati wa baridi kulikuwa na gogo la moto linalotoa joto. Bill ya kulipa ilikua ni kodi ya kichwa tu.

Kuna watu wana nyumba zenye hali mbaya zaidi ya hii si vijijini tu bali hata mijini.
 
kweli aisee,,, kule mfano dodoma mtera, hali ya nyumba ni mbaya mno.
 
Back
Top Bottom