Hii picha imenirudisha miaka mingi baada ya Uhuru

Hii picha imenirudisha miaka mingi baada ya Uhuru

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1657666951153.png

Mfano wa nyumba hizi zilizojengwa na Wajerumani ziko Amani, Tanga. Hiki kijumba kidogo ni jiko, kwa wakati ule wengi walipikia kuni. Hili jiko lilikua na sehemu ya kuhifadhi meter moja ya kuni.

Walijenga hydroelectric power kutumia maporomoko ya mito kule Amani na kulikua na umeme. Waliweza kuvuta maji pia. Hizi nyumba zikikua self contained.

Kulikua na dispensary ya kutibu watu, waliweka matabaka, kulikua na sehemu ya indigenous people na sehemu zao ambazo zilikua bora.

Mgonjwa akiwa na hali sintomfahamu alipelekwa Bombo.
 
Back
Top Bottom