Uko sahihi sana,Tanzania kwa huduma za jamii vijijini tuko mbali sana,wakenya hawatufikii hata robo...Huduma za jamii za TZ ni bora zaidi ya Kenya. Kenya bado saaana! hasa vijijini! hawawezi kuwafikia wa TZ!
mzee hapo chalinze tu watu wanakunywa maji bwawa moja na ng'ombe, au nenda handeni, nenda jimbo la mwigulu....Tukiwaambia ccm inajitahidi, mnabisha.
Nitafutie pctr kama hiyo ya kuanzia mwaka 2018, hakuna!
Sent using Jamii Forums mobile app
😢😢😢
Huduma za jamii za TZ ni bora zaidi ya Kenya. Kenya bado saaana! hasa vijijini! hawawezi kuwafikia wa TZ!
Alafu unakuta mtu somewhere ana waste majiMtoto Kutoka Nchini Kenya eneo la Turkana akikinga mkono ili anywe Maji Ya Kunywa,
Ukitazama Hayo Maji aisee Raisi Wa Kenya haoni hii ni hatari? View attachment 1048800
Sent using Jamii Forums mobile app
mzee hapo chalinze tu watu wanakunywa maji bwawa moja na ng'ombe, au nenda handeni, nenda jimbo la mwigulu....
usihadithiwe, we nenda katazame!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto Kutoka Nchini Kenya eneo la Turkana akikinga mkono ili anywe Maji Ya Kunywa,
Ukitazama Hayo Maji aisee Raisi Wa Kenya haoni hii ni hatari? View attachment 1048800
Sent using Jamii Forums mobile app
wacha kuongea pumba wewe...usifikirie hatuoni comments za wenzeni hapa jf wanaosema ukwel...tanzania vijijini pia hali ni ngumu...kuna watu pia wanateseka sana...
unataka kutuhakikishia upumbavu
mbna povu na matusi...ukwel unauma..mwenzako tu kasema chalinze kuna watu wabakunywa maji katika bwawa pamoja na ng'ombe...Unazijua pumba au unakurupuka tu? zumbukuku ulimwengu uko huku. Soma uelewe ndio ujibu.... nani kasema hakuna hali ngumu tanzania vijijini??????? Nimesema ........Huduma za jamii za TZ ni bora zaidi ya Kenya. Kenya bado saaana! hasa vijijini! hawawezi kuwafikia wa TZ! mpumbavu mwenyewe! Habari ndiyo hiyo mkenye mkurupukaji
mbna povu na matusi...ukwel unauma..mwenzako tu kasema chalinze kuna watu wabakunywa maji katika bwawa pamoja na ng'ombe...
sasa kati yenu nani mkweli...rangi ya kijani katika ubora wake kuwalemeza watu akili na kuzuia uhuru wa habari
Leta picture tu, sina haja ya kwendamzee hapo chalinze tu watu wanakunywa maji bwawa moja na ng'ombe, au nenda handeni, nenda jimbo la mwigulu....
usihadithiwe, we nenda katazame!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] bila kusahau wamefanya mvua inyeshe kila inapofika masika. Heko sisiemukweli mkuu maana imefanikiwa kusambaza mito, mabwawa,maziwa, chemichemi karibu nchi nzima
Acha kupotosha songea hakuna shida ya maji kama hiyo hadi vijijini watu wanapata maji safi songea sehemu gani kuna shida kama hiyo tatizo mnajenga tu picha kichwani watu wa dar bhanaNa huku kwetu hali zipo zinawakumba wazee na pia kwenye ishu ya magonjwa hali ni mbaya,afu watu wengi wanaoishi mijini wanajua Kuna nafuu nchi nzima lakini ukweli ni kwamba vijijini Kuna hali duni na za kusikitisha sawa tu hao wakenya,in rural ni 35% tu ya watu wanapata maji,tembea manyara dodoma songea chunya katavi utaelewa
Vijiji vya madaba afu mimi sio wa darAcha kupotosha songea hakuna shida ya maji kama hiyo hadi vijijini watu wanapata maji safi songea sehemu gani kuna shida kama hiyo tatizo mnajenga tu picha kichwani watu wa dar bhana
Sent using Jamii Forums mobile app