Hii Picha Imeniuma saana.

Hii Picha Imeniuma saana.

Huduma za jamii za TZ ni bora zaidi ya Kenya. Kenya bado saaana! hasa vijijini! hawawezi kuwafikia wa TZ!

wacha kuongea pumba wewe...usifikirie hatuoni comments za wenzeni hapa jf wanaosema ukwel...tanzania vijijini pia hali ni ngumu...kuna watu pia wanateseka sana...

unataka kutuhakikishia upumbavu
 
mzee hapo chalinze tu watu wanakunywa maji bwawa moja na ng'ombe, au nenda handeni, nenda jimbo la mwigulu....

usihadithiwe, we nenda katazame!

Sent using Jamii Forums mobile app

ChoiceVariable
Na huku kwetu hali zipo zinawakumba wazee na pia kwenye ishu ya magonjwa hali ni mbaya,afu watu wengi wanaoishi mijini wanajua Kuna nafuu nchi nzima lakini ukweli ni kwamba vijijini Kuna hali duni na za kusikitisha sawa tu hao wakenya,in rural ni 35% tu ya watu wanapata maji,tembea manyara dodoma songea chunya katavi uta

kuna majamaa hapa jf hawapendi ukwel...wao kila kitu ni kusifia th wanachoambiwa mikutanano...kubali hali yako...
 
wacha kuongea pumba wewe...usifikirie hatuoni comments za wenzeni hapa jf wanaosema ukwel...tanzania vijijini pia hali ni ngumu...kuna watu pia wanateseka sana...

unataka kutuhakikishia upumbavu

Unazijua pumba au unakurupuka tu? zumbukuku ulimwengu uko huku. Soma uelewe ndio ujibu.... nani kasema hakuna hali ngumu tanzania vijijini??????? Nimesema ........Huduma za jamii za TZ ni bora zaidi ya Kenya. Kenya bado saaana! hasa vijijini! hawawezi kuwafikia wa TZ! mpumbavu mwenyewe! Habari ndiyo hiyo mkenye mkurupukaji
 
mbna povu na matusi...ukwel unauma..mwenzako tu kasema chalinze kuna watu wabakunywa maji katika bwawa pamoja na ng'ombe...
sasa kati yenu nani mkweli...rangi ya kijani katika ubora wake kuwalemeza watu akili na kuzuia uhuru wa habari
 
Nguvu unayotumia hapa kubishana ungeitumia kuelewa unachosoma... ungekuwa mbali sana. Si kosa lako!
 
Tusambaze upendo, tuwapelekee ndugu zetu misaada ya hali na mali.
 
kweli mkuu maana imefanikiwa kusambaza mito, mabwawa,maziwa, chemichemi karibu nchi nzima
[emoji23][emoji23][emoji23] bila kusahau wamefanya mvua inyeshe kila inapofika masika. Heko sisiemu
 
Na huku kwetu hali zipo zinawakumba wazee na pia kwenye ishu ya magonjwa hali ni mbaya,afu watu wengi wanaoishi mijini wanajua Kuna nafuu nchi nzima lakini ukweli ni kwamba vijijini Kuna hali duni na za kusikitisha sawa tu hao wakenya,in rural ni 35% tu ya watu wanapata maji,tembea manyara dodoma songea chunya katavi utaelewa
Acha kupotosha songea hakuna shida ya maji kama hiyo hadi vijijini watu wanapata maji safi songea sehemu gani kuna shida kama hiyo tatizo mnajenga tu picha kichwani watu wa dar bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah,Mwenyezi Mungu Awasaidie hawa viumbe coz wanaitaji msahada.
 
Back
Top Bottom