stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Uko sahihi sana,Tanzania kwa huduma za jamii vijijini tuko mbali sana,wakenya hawatufikii hata robo...Huduma za jamii za TZ ni bora zaidi ya Kenya. Kenya bado saaana! hasa vijijini! hawawezi kuwafikia wa TZ!