Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,395
Write your reply...
ikiwa nairobi tu kuna uhaba wa maji,hali ikoje turkana?
ikiwa nairobi tu kuna uhaba wa maji,hali ikoje turkana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hao hujiita wapinzani a.k.a ukawa au chadema,huwa hawapendi kuisifu serikali, wao hupinga tu kila kituwacha kuongea pumba wewe...usifikirie hatuoni comments za wenzeni hapa jf wanaosema ukwel...tanzania vijijini pia hali ni ngumu...kuna watu pia wanateseka sana...
unataka kutuhakikishia upumbavu
jamaa anasema eti katavi kuna uhaba wa maji,aisee nimecheka sana hajui mzee pinda kafanya mambo ya hatari,nimetembea njombe vijijini,serikali imejitahidi sanaAcha kupotosha songea hakuna shida ya maji kama hiyo hadi vijijini watu wanapata maji safi songea sehemu gani kuna shida kama hiyo tatizo mnajenga tu picha kichwani watu wa dar bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Can you bring a source to justify your claimsWaters supply in Tanzania is way better in comparison to Kenya.
Hebu leta source ya madai yako. Hapa watu huthibitisha wanayosemaHuduma za jamii za TZ ni bora zaidi ya Kenya. Kenya bado saaana! hasa vijijini! hawawezi kuwafikia wa TZ!
Sio kweli watu wanaosema ivo si ajabu hata hawajawahi ishi vijijini asilimia 90 ya vijiji vya Tanzania viko pouwa hiyo 10 ni ya vijiji vilivyopo kanda ya kati.wacha kuongea pumba wewe...usifikirie hatuoni comments za wenzeni hapa jf wanaosema ukwel...tanzania vijijini pia hali ni ngumu...kuna watu pia wanateseka sana...
unataka kutuhakikishia upumbavu
SOURCE YA MAJI KWA MATUMIZI YA MAJUMBANI SIYO MVUA...
Kumbe hawa wajinga wanaficha njaa yao .What kind of humanity is this?
View attachment 1049693
Duh!!!!When the dictator tries to control the media this is the outcome. The citizens suffer in silence.Tanzania Please tell the world what is happening in Simiyu
View attachment 1049699
Kumbe wanakufa njaa na bado inafichwa tu....All in the name of what sasa??Duh!!!!When the dictator tries to control the media this is the outcome. The citizens suffer in silence.
Ni matokeo ya ubepari.