Hii Picha Imeniuma saana.

Hii Picha Imeniuma saana.

wacha kuongea pumba wewe...usifikirie hatuoni comments za wenzeni hapa jf wanaosema ukwel...tanzania vijijini pia hali ni ngumu...kuna watu pia wanateseka sana...

unataka kutuhakikishia upumbavu
hao hujiita wapinzani a.k.a ukawa au chadema,huwa hawapendi kuisifu serikali, wao hupinga tu kila kitu
we waamini tu,ila nyie mko kuzimu aisee
 
Acha kupotosha songea hakuna shida ya maji kama hiyo hadi vijijini watu wanapata maji safi songea sehemu gani kuna shida kama hiyo tatizo mnajenga tu picha kichwani watu wa dar bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
jamaa anasema eti katavi kuna uhaba wa maji,aisee nimecheka sana hajui mzee pinda kafanya mambo ya hatari,nimetembea njombe vijijini,serikali imejitahidi sana
 
Huduma za jamii za TZ ni bora zaidi ya Kenya. Kenya bado saaana! hasa vijijini! hawawezi kuwafikia wa TZ!
Hebu leta source ya madai yako. Hapa watu huthibitisha wanayosema
 
.
tapatalk_1552625309702.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
wacha kuongea pumba wewe...usifikirie hatuoni comments za wenzeni hapa jf wanaosema ukwel...tanzania vijijini pia hali ni ngumu...kuna watu pia wanateseka sana...

unataka kutuhakikishia upumbavu
Sio kweli watu wanaosema ivo si ajabu hata hawajawahi ishi vijijini asilimia 90 ya vijiji vya Tanzania viko pouwa hiyo 10 ni ya vijiji vilivyopo kanda ya kati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania Please tell the world what is happening in Simiyu
1553076553037.png
 
Kosa tulilolifanya wana EAST AFRICA ni kuomba Uhuru mapema. Tungeishi tu kama hatujui kuwa tunatawaliwa ingefika wakati tungekuwa wamoja bila hata ya ubaguzi.
Pamoja na wingi wa rasilimali East Africa bado tunasaidiwa mpaka na nchi zenye rasilimali chache na hali ya jangwa kama Mexico
 
Ukiwa kama kiongozi mkuu Wa nchi ,ukaona raia wako wapo kwenye hali kama hiyo kama una moyo wa kiubinadamu sidhan kama utakula chakula chako kwa amani
 
Hapo kaambiwa kinga mikono alafu fanya kama unakunywa tukupige picha...

Mtoto ana afya njema kabisa huyo... wanaokunywa maji machafu hamuoni hali zao...


Cc: mahondaw

Tukuletee picha halisi za wahanga!!!

Kiuhalisia hazifurahishi wala hazivumiliki.
 
Back
Top Bottom