DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mshike sana elimu usimuache aende zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa na nguvu zaidi endapo wazazi hawakusoma kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao.Mshike sana elimu usimuache aende zake.
View attachment 2394568
Mkuu, nimependezwa na hizi joja zakoHii picha inatufundisha kukiwa na mifumo mizuri ya elimu kama Kenya tutaweza kujikwamua kimaendeleo.PhD moja ya Kenya ni sawa na baraza zima la sasa la mawaziri wa Tanzania.Huyo mwanasheria pesa zote kazipata kihalali kabisa.Hii inadhihikisha ubora wa elimu ya Kenya tofauti na tz ambapo mwanasiasa mwenya pesa kuanzia bilioni mbili amezipata kiufisadi tu.