Hii picha inatoa ujumbe gani?

Siasa inalipa Kuna watu Wana zaidi ya izo hapa bongo ...siasa sio mchezo
 
Hahaha hiyo ni kwa wwnaojua elimu ni nini ila sisi kwetu Elimu ni marks nzuri za mtihani baada ya kukariri miaka halafu unaambiwa msomi ana PhD kama ww kwetu hata akiwa mwanasheria hajua anasimamia nini?

Hopeless kabisa
Hongereni jirani sisi huku tunabebana na wizi juu ingawa hata nyie mnao
 
Mshike sana elimu usimuache aende zake.
View attachment 2394568
Itakuwa na nguvu zaidi endapo wazazi hawakusoma kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao.
Lakina kama wamesoma na wana maisha duni, hiyo picha inaweza kushusha zaidi morali ya kutafuta elimu. Maisha ya wazazi wa zamani si sawa na wa sasa. Inatakiwa wapambane kadri wawezavyo kuwapa watoto wao maisha bora!😀
 
Hii picha inatufundisha kukiwa na mifumo mizuri ya elimu kama Kenya tutaweza kujikwamua kimaendeleo.PhD moja ya Kenya ni sawa na baraza zima la sasa la mawaziri wa Tanzania.Huyo mwanasheria pesa zote kazipata kihalali kabisa.Hii inadhihikisha ubora wa elimu ya Kenya tofauti na tz ambapo mwanasiasa mwenya pesa kuanzia bilioni mbili amezipata kiufisadi tu.
 
Mkuu, nimependezwa na hizi joja zako
Ila embu tusaidie kudadavua huo mfumo wa elimu na hiyo Kenyan PhD inavyoweza kuwa sawa na idadi ya xabinet ya tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…