Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Huyo Mama yako mbona hapo hahusiki? Au ndio umekariri?Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Unaweza ukashangaa wakafika watanoPicha ina marais watatu.
Asante na msalimie mama.Nakusamehe kwa kuwa hujui ulitendalo.
Tapeli mkubwa wewe.Embu weka hiyo picha hapa😀😀😀Binafsi nina picha kadhaa nimepiga ikulu! Wewe hata nguo zako hazijapiga picha ikulu Huwa unasikia kwenye radio na kuiona Kwa tv! Utalamba makalio mpaka lini Lucasina
Hahusiki na nini tena. Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuuHuyo Mama yako mbona hapo hahusiki? Au ndio umekariri?
Ni picha yenye maono makubwa sana. Uongozi mzima wa Tanzania hadi 2050 upo hapo.Ndugu zangu Watanzania,
Nimewahi elezea juu ya Picha hii siku za nyuma kidogo. leo tena nimeendelea kuiangalia picha hii na kuendelea kuitafakari zaidi na zaidi na kujikuta nikiguswa sana na Picha hiyo.
Embu Fikiria hapo. Kutoka pichani Mheshimiwa Balozi DKT Emmanueli Nchimbi Amependekezwa na kupitishwa na Rais Samia kuwa Mgombea Mwenza wake katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Mwishoni Mwa Mwaka huu wa 2025..
Lakini Pia Huyo huyo Balozi DKT Emmanueli Nchimbi ndiye katibu Mkuu wa CCM kwa sasa.
Hapo hapo ukitizama pichani unamuona Mzee Stephen Wasira.Ambaye naye Majuzi juzi ametoka kuteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa. Ambaye huyo Mwenyekiti Ni Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Ambaye ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ndugu zangu Watanzania hakuna picha inayopigwa kwa bahati mbaya katika Siasa na katika Dunia hii. Angalia sana picha unazopiga na kuweka mitandaoni.View attachment 3209149
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hapo ilikuwa baada ya kudungwa juice na chaiNdugu zangu Watanzania hakuna picha inayopigwa kwa bahati mbaya katika Siasa na katika Dunia hii. Angalia sana picha unazopiga na kuweka mitandaoni.
Umeona mbali sana MkuuPicha ina marais watatu.
CCM ni chama sikivu na chenye kusikiliza sauti ya kila mmoja wetu bila kujali itikadi zetu za kisiasa. ndio maana CCM inaendelea kudumu na kusalia madarakani muda wote.Hapo ilikuwa baada ya kudungwa juice na chai
Hapa Lucas Mwashambwa na wenzako mlitenda kosa gani mkapewa adhabu ya kupiga goti!!??View attachment 3209222
Kumbe huyu wa Kwanza kushoto ni wewe Kamanda.
Una akili sana, hauna utofauti na mama Samia
Huyu mzee bado anaishi mwenyewe kule Mbweni!!??No comments CCM mbere kwa mbere
Wewe sasa ndio mtoto kisiasa , unapaswa uulize na ueleweshwe kuwa Lissu hakuwa mwanachadema kipindi hicho bali mwanachama wa NCCR Mageuzi.Wewe bado mtoto kwenye siasa, Mbowe ndio alikuwa anamlipia Lissu gharama zote za kutetea wachimba madini, nauli ya ndege kwenda na kurudi, fedha za malazi na chakula na pocket money Mbowe ndio alikuwa akilipia kila kitu, kama hujui mambo uliza
Muongo mkubwa wewe usiye jua chochote kile.Wewe sasa ndio mtoto kisiasa , unapaswa uulize na ueleweshwe kuwa Lissu hakuwa mwanachadema kipindi hicho bali mwanachama wa NCCR Mageuzi.
Kuhusu malipo ya hizo kesi pia huna unachokijua Lissu alijitolea sana kuhusu hizo kesi na mtu aliyemsaidia kwa nafasi yake alikuwa marehemu Chacha Wangwe wewe unaongelea habari za Mbowe hapa ukifikiri zile kesi zilikuwa za kisiasa.
Anawajua vizuri sana na ndio maana hawampi shida wala presha.Kwa kifupi kumbe mama anaelewa akili yao tokea longtime
Wewe kidampa unafikiri miaka hiyo Lissu alikuwa Chadema.Muongo mkubwa wewe usiye jua chochote kile.