Hii Picha Itadumu kwa Miaka Mingi Sana Na Kuonyesha kuwa hakuna picha Ya bahati mbaya Inayopigwa Ikulu

Mara zote picha hazidanganyi.
Ila nikuulize jambo? Yale yaliyofanyika Dodoma umeyachukuliaje (kikatiba)?
 
Mara zote picha hazidanganyi.
Ila nikuulize jambo? Yale yaliyofanyika Dodoma umeyachukuliaje (kikatiba)?
Yamenifurahisha sanaa na kugusa moyo wangu na kukata ile kiu niliyo kua nayo. Lakini pia yamezingatia katiba
 


Wewe tumbili sikiliza kuanzia dak ya 4 hii clip ya Mh. Mbowe, ni Mbowe alikuwa ana msponsor Lissu kwenda kutetea wachimbaji wadogo

Acha upuuzi mtoto mdogo ww, pumbaf waheed..!!


View: https://youtu.be/O6OAQjXmaXQ?si=7Fl9TQZggB5X8R_8
 
Wewe tumbili sikiliza kuanzia dak ya 4 hii clip ya Mh. Mbowe, ni Mbowe alikuwa ana msponsor Lissu kwenda kutetea wachimbaji wadogo

Acha upuuzi mtoto mdogo ww, pumbaf waheed..!!


View: https://youtu.be/O6OAQjXmaXQ?si=7Fl9TQZggB5X8R_8
Sina haja ya kusikiliza tena hicho alichokisema Mbowe maana katika vuguvugu la uchaguzi katudanganya vingi ikiwemo habari ya maridhiano uchwara hiyo interview niliangalia yote na kuna mengi kadanganya na si ajabu alikimbia mdahalo.

Aliyefund harakati za wachimbaji wadogo katika kesi za Lissu ni marehemu Chacha Wangwe na Lissu hakuwa mwanachama wa Chadema at that time.

Hapo tumbili utakuwa ni wewe sio mimi.
 
Kwenye hiyo picha pia kuna mwenyekiti mpya wa CHADEMA
 

Tumsikilize na kumuamini Tumbili kama wewe usiyejulikanq na mtu yeyote in political arena alafu tumwache kumuamini Mh. Mbowe, ndio maana nikakuita Tumbili wewe na ukiendelea hivyo utakuwa kima, pumbaf, eti Mbowe kadanganya, ww tumbili una guts za kuaminiwa na nani vs Mbowe?

Mbowe huwezi mlinganisha na Lissu, Mbowe kamlea Lissu, hadi nyumba ya kukaa Dodoma alimpa Lissu bure akae, wewe Tumbili unataka tukuamini wewe na sio Mh. Mbowe, Tumbili wewe..
 
Tumbili ni wewe unayebeba story za upande mmoja bila kufanya fact checking.

Nijulikane ili iweje? ningetaka kujulikana ningejulikana unataka unijue ili iweje pia au ndio ile squad ya watekaji?
Mbowe huwezi mlinganisha na Lissu,
Yes na ndio maana Mbowe akakimbia mdahalo mbele ya Lissu sababu hawalingani.

Aliyoshindwa kufanya miaka 21 ana kipi cha kuwashawishi watu atayafanya baada ya miaka 5!
Mbowe kamlea Lissu, hadi nyumba ya kukaa Dodoma alimpa Lissu bure akae,
Kwahiyo huko Lumumba ukipewa "accomodation" umelelewa tayari?

Na juzi mlivyosombwa kwenda Dodoma na kupewa posho za chakula na malazi ndio mlilelewa hadi Samia na Mwinyi wakajipitisha kugombea urais?
wewe Tumbili unataka tukuamini wewe na sio Mh. Mbowe, Tumbili wewe..
Tumbili ni wewe tena wewe itakuwa ni baboon, ad hominem hazitokusaidia hapa, yaani mtu akikupa mahali pa kulala tayari ni kama hongo eti amekulea hivyo hutakiwi kupishana nae mitazamo?
 
Unasema hakuna picha ya bahati mbaya?
Kwa mara ya kwanza Lucas nimeanza kukuelewa.
 

Attachments

  • FB_IMG_1733421003332.jpg
    41.9 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…