Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
kbs dogo atafka far sana km ataendlea kuwa ktk ubora wake vilevile kila gameDogo anaonyesha nia,
Viva Madrid, halla madrid
πππ kwann ss hapana mkuukwa huyo hapanaππ
πππAnataman kuiba
kbs mkuuExactly kabisa picha tunazopiga zina maana kubwa sana katika ulimwengu wa roho usione tu amejitenga kuna sabab
yah π€Yeah! it's just a matter of time
kbs yan n jitihaad na maomb kwa wngNi muda tu
yah baada ya KB9 kushindaHiyo picha ni ya lini? Baada ya Benzema kushinda?
n kwel ila hy tuzo n kwa wale wanaonesha juhud za hatar dunian kwny suala zima la mpila kwhy anawez kupat km n mchezaj wa mpila ila haiwez kuipata km n mchezaj wa basketball au tennisHiyo tuzo sio kwa ajili ya kila mtu.